Saturday, January 30, 2016

THE RETURN YA SANAA MTAA IKO IVI JUMAPILI HII 31/01/2016 [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

           Baada ya kufanya vizuri kwa mwaka jana ilipoanzishwa SANAA MTAA MOVEMENT katikati ya mwezi wa nane (ONE PARU,UNGA LTD) iliweza kufanya mambo makubwa sana ikiwemo kuibadilisha jamii inayowazunguka,vijana hao waliamua kuungana na kuifundisha jamii yao kupitia sanaa na kuipa imani ya kwamba SANAA SIO UHUNI.Kupitia sanaa waliweza kutoa somo la kujikinga na matendo maovu kama WIZI,MADAWA YA KULEVYA,NGONO ZEMBE na tabia nyingne nyingi hatarishi.
          Chanzo chetu cha habari kilipiga story na mmoja wa waanzilishi wa MOVEMENT hii na akasema kwa mwaka huu wa 2016 wamejipanga kufanya mengi sana makubwa na ili kulithibitisha ilo kwa wew ulioko ARUSHA na mikoa ya jirani usikose jumapili hii 31/01/2016 kuanzia saa nane na nusu mchana mpk kumi na mbili na nusu..tembelelea ukurasa wao wa instagram @sanaa_mtaa
Powered by @babalaoTV @prior_prosper www.babalaoinc.blogspot.com


 

Thursday, January 28, 2016

Dan-Do-Glucose (NOIZ) [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Bofya HAPA  https://mkito.com/song/glucose/18425  kupakua wimbo wa #Dan-Do kwa jina #GLUCOSE na kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check na Dan-Do kwa nambari 0758 165 577  powered by @babalaoTV www.babalaoinc.blogspot.com


Sunday, January 24, 2016

BubaMangi ft Dipper & Wiseman-Badilika [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Bofya HAPA https://mkito.com/song/badilika-ft-dipper-wiseman/18426 kupakua ngoma ya BubaMangi ft Dipper & WiseMan na kwa mawasiliano/mahojiano check nae kwa nambari +255
765 719 489    
powered by @babalaoTV @mkitodotcom www.babalaoinc.blogspot.com

Yuzzo-Dhamana ya haki [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Bofya HAPA https://mkito.com/song/dhamana-ya-haki/18439 kupakua wimbo wa @YuzzoRubama kwa jina #DhamanaYaHaki Produced by #VidarKysnes na kwa mahojiano/mawasilano zaidi check na #Yuzzo kwa nambari +47 969 61 281 powered by @babalaoTV @mkitodotcom www.babalaoinc.blogspot.com

Thursday, January 21, 2016

MOTRA ATAJWA NA DIAMOND KUA MSANII ANAETAMANI KUFANYA NAE KAZI [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Anaitwa GOODLUCK JOSEPH a.k.a MOTRA THE FUTURE ni msanii wa muziki wa HIP HOP kutoka jijini Arusha ila kwa sasa kazi zake za muziki anafanyia jijini Dar es salaam chini ya CLASSIC SOUND ya Producer Mona Gangstar.Jana majira ya mchana katika kipindi cha XXL ya CLOUDS FM,hitmaker wa ngoma ya JE UTANIPENDA hapa namzungumzia Chibu Dangote a.k.a Diamond alipoulizwa ni wasanii Tanzania anaotamani kwa sasa kufanya nao kazi,ndipo alipomtaja MOTRA kua miongoni mwa wasanii hao wakiwemo WEUSI kutoka Arusha na FID Q.
MOTRA kwa sasa jina limezidi kukua akiwa na management mpya tofauti na ile aliyokua nayo awali na sasa ana wimbo unaofanya vizuri kwenye vituo mbalimbali vya redio uitwao ONE DAY aliomshirikisha mwanadada RUBY.Kujua mengi zaid kutoka kwake usichoke kutembelea ukurasa huu wa kiburudani.
Powered by @babalaoTV www.babalaoinc.blogspot.com

J cole afunga ndoa kimya kimya [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Wakati wa mahojiano na ya #MLKNow kupitia Complex yaliyofanyika kwa heshima ya siku ya Martin Luther King, Jr, J Cole alilazimika kuweka wazi hatua hiyo baada ya muongozaji wa filamu ya Creed, Ryan Coogler kumuuliza kwa bahati mbaya, “How did getting married change you?” Kitu ambacho hakujua ni kuwa ndoa hiyo ilikuwa bado haijatangazwa hadharani
“Oh, what is that?!” J cole alijibu kabla ya kulazimika kuweka wazi “That was like one thing to not do”
J cole amemuoa mpenzi wake wa siku nyingi, Melissa Heholt.
powered by @babalaoTV www.babalaoinc.blogspot.com

Gentriez ft Masebo & Mabeste-Nimekumisi [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Bofya HAPA https://mkito.com/song/nimekumisi-ft-masebo-mabeste/18391 kupakua wimbo wa @Gentriez ft @Masebohazto & @Mabeste_tanzania kwa jina #Nimekumisi Produced by @masebohazto na kwa mahojiano mawasilano zaidi check na #Gentriez kwa nambari +255 788 172 341 powered by @babalao27 @rodgersbabalao27 www.babalaoinc.blogspot.com

Barakah Da Prince-Siwezi (Audio & Video)

Bofya HAPA https://mkito.com/song/siwezi/18386 kupakua official Audio ya @Barakah_DaPrince brand new kwa jina #SIWEZI produced by @manecky_amrecs na HAPA https://youtu.be/seXwsIlwdEY Kutazama Official Video directed by @kevinboscojnr powered by @babalaoTV @rodgersbabalao27 www.babalaoinc.blogspot.com

OME ft Defxtro-Woyoo (NOIZ) [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Bofya HAPA https://youtu.be/P7xUhM6aicw Kutazama Video ya OME ft Defxtro #WOYOO directed by @director_papushka na kupakua audio pia Bofya HAPA https://mkito.com/song/woyoo/15772 #OnesMusicEmpire kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check @ones_music_empire kwa nambari +255 785 277 100 powered by @babalaoTV @mkitodotcom www.babalaoinc.blogspot.com

G-Nako- OG Original (TheIndustry)[WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Weusi Presents #OG Bofya HAPA https://mkito.com/song/og-original/18366 Kupakua wimbo wa #MrOG @gnakowarawara kwa jina #OG "ORIGINAL" toka studio za The Industry produced by @NahReel huku tukisubiri Official Video Release 18th January Jumatatu Jioni @MtvBaseAfrica na baadae @youtube na TV Stations Zote kwa mawasilano/mahojiano check na @gnakowarawara kwa nambari +255 715 593 041 powered by @babalaoTV @mkitodotcom www.babalaoinc.blogspot.com

Friday, January 15, 2016

KENDRIC LAMAR NA UFUNGUO WA HESHIMA WA COMPTON [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Kendrick Lamar ni mmoja ya wasanii walioitangaza zaidi Compton ukiachana na wasanii wa kundi la N.W.A, Wakati ana umri wa miaka 8 alienda kushuhudia utengenezaji wa video ya 2pac Shakur na Dr.Dre “California Love”, amewahi kusema kuwa hao ni moja ya watu wenye mchango mkubwa kwenye muziki wake.Powered by www.babalaoinc.blogspot.com @babalaoTV

Zahchro ft Mwiro & Dipper-Some More (NOIZ) [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Bofya HAPA https://mkito.com/song/some-more-ft-mwiro-dipper/18182 Kupakua wimbo wa Zahchro ft Almando Mwiro & Dipper ikiwa ni Techno Category toka @Noizmekah kwa mahojiano/mawasilano zaidi check na @Zahchro kwa nambari +255 718 955 131 powered by @babalaoTV @mkitodotcom www.babalaoinc.blogspot.com.com 

Gucci Toz-Galauka [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Bofya HAPA https://mkito.com/song/galauka/18168 kupakua wimbo wa Gucci Mipiko @gucci_toz_mipiko kwa jina #Galauka produced by #Nucci @nucci_classic na kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check na #GucciMipiko kwa nambari +255 715 705 768 Powered by @babalaoTV @mkitodotcom www.babalaoinc.blogspot.com

Yuzzy Bong-Special Song (NOIZ) [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Bofya HAPA https://mkito.com/song/special-song/18248 kupakua wimbo wa Yuzzy Bong toka Moshi Kilimanjaro kwa jina #SpecialSong ikiwa ni Reggae Category,kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check na Yuzzy Bong kwa nambari +255 766 586 807 powered by @babalaoTV @mkitodotcom www.babalaoinc.blogspot.com

Nelly Hard-Ipo Siku (NOIZ) [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Bofya HAPA https://mkito.com/song/ipo-siku/18270 kupakua wimbo wa Nelly Hard kwa jina "Ipo Siku" na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na #NellyHard kwa nambari +255 768 331 121
na pia bofya HAPA kupakua #MbaliNaNyumbani https://mkito.com/song/mbali-na-nyumbani-ft-badspenders/18169 powered by @babalaoTV @mkitodotcom www.babalaoinc.blogspot.com

D-Father ft J-Deal-Nenda (Mix.Noiz) [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Bofya HAPA https://mkito.com/song/nenda-ft-j-deal/18183 Kupakua wimbo wa D-Father toka Moshi Kilimanjaro akimshirikisha J-Deal @jdealmusic, na kwa mawasiliano/mahojiano check na D-Father kwa nambari +255 679 316 052 powered by @babalaoTV @mkitodotcom www.babalaoinc.blogspot.com 

Wednesday, January 13, 2016

WASANII WATAKIWA KUJIANDIKISHA COSOTA [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Iko mijadala wasanii wa Tanzania wanaendelea nayo kuhusu jinsi ya kuweka utaratibu wa wasanii hao kulipwa na vituo vya TV na Radio kwa jinsi ambavyo nyimbo zao zinapigwa… kuna nchi ambazo tayari wamesogea kwenye hatua nzuri na utaratibu wa wasanii kulipwa unaendelea kama kawaida.
COSOTA wasema kuna wasanii wa Bongo kama 25 au 30 hivi ambao wanapokea pesa za mirabaha kutoka nje ya TZ… Wasanii hao ni wale waliojiandikisha tu COSOTA na wanatambulika nao, kwa ambao hawajajiandikisha wanashauriwa kujiandikisha pia kwa sababu huenda kuna pesa zao zinaingia toka nje na haziwafikii. 
Powered by babalaoinc.blogspot.com @babalaoTV

Maryzo ft ManBatoo-Kwachu Kwachu (NOIZ) [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Bofya HAPA https://mkito.com/song/kwachu-kwachu-ft-manbatoo/18055 kupakua wimbo wa @maryzomusic ft @man_batoo kwa jina #KwachuKwachu na kwa mahojiano/mawasilano zaidi check na Maryzo kwa nambari +255 762 658 826 powered by @babalaoTV @mkitodotcom www.babalaoinc.blogspot.com

MANAGEMENT YAMKWAMISHA MCHIZI MOX [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Taicun Ally a.k.a MCHIZI MOX asema tatizo lake kubwa linalo na lililochangia muziki wake kuwa kimya kwa kipindi kirefu hata akijitahidi kurudi kama zamani bado anaishia njiani ni MANAGEMENT kukosekana ya uhakika ambayo itaweza kusimamia kazi zake kuanzia utayarishaji,usambazaji na kujitangaza,aliongea hayo leo mchana katika kipindi kimoja cha redio jijini Dar es salaam.
Powered by babalaoinc.blogspot.com @babalaoTV

FidoVato-Tengeneza Pesa (Goncher.Noiz)[WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Bofya HAPA https://mkito.com/song/tengeneza-pesa/18224 kupakua wimbo wa @fidovato kwa jina #TengenezaPesa ikiwa ni TrapHiphop style toka kwa @Goncherbeatz na vocals/mixing kwa @defxtro @noizmekah, kwa mahojiano/mawasilano zaidi check na #Vatoloco kwa nambari +255 783 825 519 powered by @babalaoTV @mkitodotcom www.babalaoinc.blogspot.com

Shwari Kuu Veejay-Nimebarikiwa (Gospel Mixtape)[WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Bofya HAPA https://mkito.com/song/nimebarikiwa/18191 Kupakua wimbo wa @vj toka katika kandamseto yake ya #NimebarikiwaVOL1 inayopatikana kwenye @mkitodotcom na pia mtaani kwa nambari +255 716 941 696 powered by @babalaoTV @mkitodotcom www.babalaoinc.blogspot.com

Sunday, January 10, 2016

KIKAO CHA WASANII CHA KISANII.[WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Muziki wa Bongo Fleva /hiphop ni muziki unaongelewa zaidi mtaani na hata kuchezwa zaidi katika media house za ndani na nje ya nchi pia.Ila wapo walio wengi wasiojua mziki huu ulianza lini. Bongo fleva/hiphop ulianza miaka ya 1990 hasa ikiwa ni muigo wa kutoka kwenye muziki wa Marekani.DJ Show ndio kilikuwa kipindi cha kwanza kucheza nyimbo hizi za bongofleva/hiphop kutoka hapa Tanzania ndani ya Radio One,Taji Liundi ndiye aliyekuwa mtangazaji wa kwanza kucheza muziki huu na hii ilikuwa ni miaka ya 1994.
Muziki huu umeendelea kukua siku baada ya siku na sasa umegeuka kuwa biashara kubwa, na hata kuona wasanii wengi wakiwa wananufaika na huu muziki tu.Licha ya mafanikio wanayopata lakini bado wana haki nyingi ambazo wanapoteza ambapo kama Serikali ingesimamia swala hili basi leo tungekuwa na wasanii milionea kupitia mziki huu wa kizazi kipya.
Wapenda utani husema eti kila nyumba ina msanii mmoja wa muziki wa kizazi kipya,huwa nacheka mwenyewe tu kila nisikiapo mtu akisema hivyo.Ukifuatilia kwa makini ni kweli kuna wasanii wengi sasa katika kila upande na yote hii ni baada ya kuona pia muziki umekua ajira.
Vinega ambao walifanya mixtape ya Ant Virus walikuwa watu wa kwanza kuzungumzia kuhusu wasanii kulipwa mirabaha.Nadhani hawakupata support kubwa kutoka kwa wasanii wengine kutokana na matumiz ya lugha kali katika tungo zao nyingi ambazo
zilielezea unyonyaji uliopo katika muziki wa bongo fleva ,Hiyo ilikuwa ni miaka ya 2010 na kuendelea.
Pia miaka hiyo kulikuwa na fursa nyingi hasa wasanii walipata nafasi ya kuulizwa na Rais mstaafu Mh Kikwete matatizo wanayokutana nayo kila siku na majibu makubwa yalikuwa studio.Kitu ambacho hakileti maana hivi kweli studio ni tatizo kwenye mziki?na studio ikatolewa, Je mpaka sasa mnajua studio iko wapi?na ni msanii gani unajua amewahi kufanya kazi katika studio hiyo?.Hii ni kwa mujibu wa Mr II Sugu pamoja na Mgosi Mkoloni.
Pia Mgosi Mkoloni aliwahi kusema” kwenu yinyi mashabiki mnatakiwa mjue mziki una nini ndani yake,Game ilianza vizuri sana na wengine hata hawakuwepo ila walivutwa na game kutokana na waliokuwepo lakini leo wamebadili upepo,hatuendi kihivyo mwanangu kaa ukijua mziki unalipa tena sana mbali na kufanya mziki tunahitaji hela, na huwezi kutumia kipaji cha mtu kujinufaisha wewe mwenyewe hilo ni kosa la jinai”. Turudi kwenye lengo haya mengine ni mambo tu niliyotaka watu makini tujiulize.
Sababu nyingine ambayo ilifanya zoezi la kulipwa mirabaha kukawia ni kukosekana kwa mitambo ya kujua wimbo/nyimbo zimechezwa mara ngapi katika kituo cha radio au tv husika.Wapo waliolaumu Cosota kuhusu hili jambo,lakini ukweli hujitenga na uongo pale ambapo mkurugenzi wa Cosota aliposema “hatuna mitambo ya kufuatilia radio na tv zimecheza mara ngapi wimbo sasa hapo tunawazaje kukusanya mirabaha?”
P Funk Majani mtayarishaji mkongwe katika muziki wa kizazi kipya,ambaye ndiye mtayarishaji bora wakati wote na amekuwa na kumbukumbu za pekee katika muziki huu.Pia ni mtayarishaji anaeongoza kuandaa album nyingi katika muziki huu kizazi kipya. Mwaka 2014 -2015 P funk Majani walitambulisha CMEA ambayo walieleza mipango mingi mizuri na hata mwaka jana kuanza kufanya kazi kwa kushirikiana na Cosota.Hii ni katika kutekeleza swala la wasanii kulipwa mirabaha
CMEA kazi yao kubwa ilikuwa ni kujua kuwa wimbo wa msanii Fulani umechezwa mara ngapi kwa siku wiki na hata mwezi,na P funk alieleza mitambo hiyo inanasa na kutunza kumbukumbu ya muda wa wimbo wa msanii ulipochezwa.Hapa kila mmoja alipata kuona sasa neema imefika kwao wasanii.
Tarehe 12/12/2015 kulifanyika semina ilichojumuisha Cosota,CMEA pamoja na wasanii wa bongofleva/hiphop.taarabu,bendi,kwaya,na mkutano huo uliudhuliwa na wasanii wengi wa kizazi kipya.
Mwana Fa ni moja kati ya wasanii walipata nafasi ya kuongea katika semina hiyo ambapo alisema “ebwana aah si wengine tumefanya muziki wa muda mrefu kidogo na hivi vitu mwazoni vilikuwa vinaonekana kama ndoto,kwaiyo hatua ilipofika tuwapongeze CMEA na Cosota.”
Wengine ambao walipata nafasi ya kuongea ni pamoja na Lamar,Babu Tale, Nikki wa pili,Chaba,Jay MO,na wengine wengi
Hakika wote hawa walisifia kile kilichokuwa kinafanywa na CMEA.Hata kufikiria mapema mwaka huu kutakuwa na malipo ya mirabaha bila shaka.Nini kimewakuta wiki hii kusema hawana imani tena?Kwa maana hata Mh Nape aliwathibitishia wasanii kuanza kulipwa mirabaha mapema mwaka huu.Na pia wasanii walionekana kufurahishwa na maneno hayo na wengi kupost katika mitandao ya kijamii kuonyesha furaha yao.
Mwaka 2016 umeanza kinyume na matarajio yalikuwa ni ya watu wengi wapenda muziki pamoja na wasanii wenyewe.
Ni wiki kadhaa tangu ifunguliwe account katika mtandao wa picha instagram iliyoitwa wasaniitz ambayo kwa mara ya kwanza page hiyo ilitambulishwa msanii Nikki wa pili,ambayo kwasasa amefuta post hiyo ya utambulisho na hatuji kwanini amefuta sina kumbukumbu nzuri kwa alichokuwa ameandika lakini nadhani alisema follow page ya wasanii tz
Mpaka sasa ninapoandika makala hii ya wasanii na kikao cha kisanii page hii inafollowers 1739 wakati ikiwa imefollow 262.Na pia wiki chache baadae walipost tangazo kwenye page na kuandika”Kesho kuna semina THT kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa nane mchana juu ya biashara ya muziki na kuhusu na mirabaha,unaombwa kuudhuria na muhimu sana kwa manufaa ya muziki na wasanii.”
Hapo vipi ushaanza kupata picha ya wasanii na kikao cha kisanii?.Hivi kweli unaweza kuitisha kikao katika page iliyofunguliwa ndani ya siku kadhaa ambayo hata haijulikani?ila hapa watasema et ooh tulisema kupitia page ya wasaniitz,hii ni zaidi ya kichekesho.Na baadae walizanza kupost picha katika page hiyo wakisema “semina ya wasanii @chegechigunda lakini katika picha hiyo ilimuonyesha Mwasiti,Ditto na mtu mwingine ambaye sijaweza kumtambua lakini alifuatiwa na Madee.
Post ya mwisho ilimuonyesha Barnaba na kusema “barnaba akichangia kwenye semina” Mpaka semina inaisha nikaendelea kutazama page hiyo ya wasaniitz na mpaka wanamaliza hakuna ambacho walisema zaidi ya zile picha tu na maelezo mafupi.
Bado hujapata tu picha ya wasanii na kikao cha kisanii? Haya tuendelee tu utaelewa
Wiki moja baadae hii ni baada ya semina iliyofanya pale THT wakaweka tangazo kuhusu kikao kilichofanyika jana mataa ya St Peter Osterbay na kutaka wasanii wafike kwa wingi na tangazo hili lilipostiwa pia na wasanii waliowengi pamoja na baadhi ya wadau kadhaa.
Kwa bahati mbaya me sio msanii na wao walitaka wasanii tu kwahiyo sikuweza kuudhuria katika kikao hicho cha wasanii cha kisanii.Lakini yaliyoendelea nilipata kuyajua ambapo walifikia maadhimio matatu 1 ni kutokuwa na imani na CMEA 2.Kuvunjwa kwa bodi ya Cosota 3.Radio stations kuendelea kupiga nyimbo zao bure mpaka watakapotoa tamko.
Hapa ndipo tunapota wasiwasi juu ya kikao cha wasanii,Ambacho ni wazi kinaonyesha ni kikao cha kisanii yani kikao flani cha kuzuga tu lakini nyuma ya pazia watu wana manufaa binafsi sio kwa kila msanii.Kwanza kama kikao cha kwanza kilijumuisha wasanii wachache ambao ni wazi inaonekana walipanga agenda zao zenye manufaa yao, na baadae ndipo wakaitisha kingine ambacho taarifa zake zikaandikwa sana kuliko cha kwanza na hata katika uitishaji wake ulizungumziwa zaidi.
Kilichonishangaza zaidi katika kikao cha wasanii cha kisanii ni eti wasanii wamesema nyimbo zao ziendelee kupigwa bure,mpaka watakapotoa tamko.Hapa ndipo unapoona ndani yao kuna tatizo ambalo haliwezi kuisha leo wala kesho.
Cmea na wasanii kwangu naona ni kama mwaka flani ilitokea flevaUnit na Tuma.Tuma ni chama cha muziki wa kizazi kipya ambacho mpaka sasa sijapata kujua msemaji wa chama hicho ni nani maana imekuwa ni jambo la kawaida msanii Nikki wa pili kujivisha majukumu yasiyo muhusu mara nyingi kujifanya msemaji.Nadhani ni Nikki ni msemaji wa Weusi tu sio msemeji wa wasanii wote au Tuma.
CMEA imefanya kazi kwa muda mfupi sana na ikaonyesha umahiri pale inapojua kazi ya msanii Fulani imechezwa mara ngapi katika kituo chochote cha radio.Kitu ambacho wasanii au jamii haikuwa inajua ni mara ngapi wimbo umechezwa kabla ya Cmea kuanza kazi.Sasa unasemaje huna imanI na CMEA ?wakati bado unaendelea kupost takwimu zao kuhusu nyimbo yako kuchezwa katika media house?unapoendelea kutumia inamana unaamini kile wanachofanya.Hii ndo ile tunasema akili inataka lakini mwili hautaki.
Kinachofanyika hapa ni mahesabu madogo tu,watu wanacheza na akili za wasanii.Mtu mwenye manufaa amekaa pembeni anacheki mchezo tu jinsi wanavyojikanyaga wakati yeye akila keki vipande vyote.
Kikao cha wasanii nilitarajia kuona wasanii wakiongeza mikakati zaidi katika kulipwa mirabaha au kuongeza mawazo katika Cmea na Cosota, sio kufikia maamuzi hayo ambayo ni wazi ni maamuzi ya mtu aliyenje kisanii yani mdau kutumia baadhi ya wasanii kukwamisha hilo zoezi.
Au imeonekana CMEA ni mnyonyaji swali dogo tu jamani.Hivi kweli mnyonyaji wa wasanii hajulikani?au ndo wasanii kukosa msimamo na nafsi zao kutawaliwa na uogo mpaka wanashindwa kuwa na misimamo?
Kwa maadhimio haya lazima niseme kikao cha wasanii cha kisanii.Pia baada ya wiki mbili wamesema watachagua baadhi ya viongoziau wawakilisi wao katika kikao hicho cha wasanii.Hapa ndipo kichekesho kingine utakiona pale ambapo meneja wa msanii anapopewa ameneji mziki mzima hahahaha tucheke kabisa,na pia utaona Yule msanii anayetaka kuonekana anajua zaidi wakati aliwahi kufanya project ndogo tu ya fichuka ikamshinda leo ataweza hili?tukiongea tujifunze kubakisha maneno.
Lengo ni kujenga sio kutengeneza mfumo wenye kunufaisha wachache kila iitwapo leo.Wasanii na kikao cha wasanii.leo tuishie hapa tutaendelea.
Imeandikwa na
BATRO MBULINYINGI.
JANUARY 7, 2016

Mojay ft Kidube-Mbona Unanitesa (Mix.Noiz)[WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Bofya HAPA https://mkito.com/song/mbona-unanitesa-ft-kidube/18144 Kupakua wimbo wa Mojay ft Kidube na kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check na "MOJAY" kwa nambari +255 766 527 467 Pia HAPA https://mkito.com/song/unaniumiza-roho-ft-kidube/18143 powered by @babalaoTV @mkitodotcom www.babalaoinc.blogspot.com.com

Lau P-Nyingine Tena (NOIZ)[WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Bofya HAPA https://mkito.com/song/nyingine-tena/18146 Kupakua wimbo wa LAU P kwa jina la "Nyingine Tena" na kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check nae kwa nambari +255 768 710 825 powered by @babalaoTV @mkitodotcom www.babalaoinc.blogspot.com

Struggle Empire-Maisha ya Ghetto (NOIZ) [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Bofya HAPA  https://mkito.com/song/maisha-ya-ghetto/18145  Kupakua wimbo wa Struggle Kupakua wimbo wa Struggle Empire kwa Jina #MaishaYaGhetto ikiwa ni HipHop Category toka @noizmekah na kwa mahojiano/mawasilano zaidi check na #StruggleEmpire kwa nambari +255 676 864 360 powered by @babalaoTV @mkitodotcom www.babalaoinc.blogspot.com.com

PRESS RELEASE: Malfred NAJARIBU [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Tanzanian and East African Reggae Musician Malfred has dropped a new song Audio and Video yesterday titled "NAJARIBU"
The Reggae artist does this following the hit song Poyoyo,Kwanini ft Denzo International,and Twajiachia with Mzungu Kichaa.

Najaribu (I'm trying) is a love song that describes a person who is committed
To his/her girlfriend/boyfriend. despite the fact that he show true love to this person
He/she does not care even though he try his best to endure the problem,in the end,
All he can do is to leave with a broken heart.

The video shot in Uganda and directed by SPK FILMZ nextedition
Audio produced by Alec Burton from Denmark studio8,Najaribu is a single
from my second Album titled Hisia Zangu"(My feeling) which also produced by
Alec.

Najaribu ni wimbo wa mapenzi unaoelezea mtu ambae ametendwa kimapenzi au
Anatendwa kimapenzi,Licha ya kumuonyesha mapenzi ya dhati mtu huyo,yeye hajali,
Unajitahidi kuvumilia matatizo yake ukijua atajirekebisha mwishowe unashindwa
Na unabaki na maumivu moyoni.

Video ya wimbo huu imeshutiwa Ugannda na muongozaji SPK FILMZ nextedition
Audio imefanywa na Alec Burton kutoka nchini Denmark Studio8,pia Najaribu
ni wimbo au single iliyotoka katika Santuri yangu ya pili iitwayo Hisia Zangu iliyo
rekodiwa na huyo huyo Alec.

Download 'Audio link:https://mkito.com/song/najaribu/18128

For more information
Facebook: 
https://www.facebook.com/malfredtz
Twitter: 
http://www.twitter.com/malfredtz
Instagram: 
https://www.instagram.com/malfredtz


Powered by babalaoinc.blogspot.com @babalaoTV