Tuesday, May 16, 2017

Jay Z amtoa Dre kwenye nafasi yake ndani ya wasanii wa HipHop matajiri zaidi kutoka Forbes[WWW.BABALAOINK.BLOGSPOT.COM]

Baada ya kuwaona wasanii kutoka Afrika ambao wanaongoza kuwa na mitonyo katika Forbes Afrika, lets move on mpaka mamtoni ambapo tunakutana na wasanii wa HipHop ambao mitonyo yao sio ya mchezomchezo.
Kupitia jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii wa HipHop ambao ni matajiri zaidi duniani, orodha hiyo imetolewa kwa mwaka huu ambapo tunakutana na Diddy kama kawaida anashikilia nafasi yake ya kwanza na hiyo ni kutokana na endorsement ya  Diego’s Ciroc, alkaline water Aquahydrate na  DeLeon tequila wote hawa wakimsogeza mpaka kwenye mtonyo wa  $820 million.
Jay z amefanikiwa kumpiku Dre na kuwa nafasi ya pili ya wasanii wa HipHop matajiri zaidi Duniani baada ya kuingia dili na mtandao wa Sprint ambao ameinvest takribani $200 million, na inasemekana analipwa mara 10 zaidi ya mara kwanza, Bird Man akiwa nafasi ya nne ndani ya listi hiyo huku Drake akiwa kwenye nafasi ya tano.
                                                        1. Diddy $820m = TZS 1.8tr
 
2. Jay Z $810m = TZS 1.8tr
  3. Dr Dre $740m = TZS 1.7tr
  4. Birdman $110M = TZS 245bn
 
5. Drake $90M = TZS 201bn
   

Watanzania chali kwenye BET Awards 2017 [WWW.BABALAOINK.BLOGSPOT.COM]

Kituo cha BET kimetoa list ya majina ya watu wanao wania tuzo zinazoandaliwa na kituo hicho kwa mwaka huu wa 2017.
Ikiwa mwaka jana +255 Tanzania iliwakilishwa na mtu mzima Diamond Platnumz japo kuwa hakufanikiwa kuinyakua tuzo hiyo, this time around imekuwa tofauti, kias kwamba hakuna Mtanzania hata mmoja aliyefanikiwa kupenya kwenye tuzo hizo ukilinganisha kuna Wanigeria kama Davido, Wizkid, Mr Eazi na hata Tekno.
List kamili ya nominations za tuzo hizo hii hapa chini.

Best Female R&B/Pop Artist
BEYONCÉ
KEHLANI
MARY J. BLIGE
RIHANNA
SOLANGE


Best Male R&B/Pop Artist
BRUNO MARS
CHRIS BROWN
THE WEEKND
TREY SONGZ
USHER


Best Group
2 CHAINZ & LIL WAYNE
A TRIBE CALLED QUEST
FAT JOE & REMY MA
MIGOS
RAE SREMMURD


Best Collaboration
BEYONCÉ FT. KENDRICK LAMAR – FREEDOM
CHANCE THE RAPPER FT. 2 CHAINZ & LIL WAYNE – NO PROBLEM
CHRIS BROWN FT. GUCCI MANE & USHER – PARTY
DJ KHALED FT. BEYONCÉ & JAY Z – SHINING
MIGOS FT. LIL UZI VERT – BAD AND BOUJEE
RAE SREMMURD FT. GUCCI MANE – BLACK BEATLES


Best Male Hip-Hop Artist
BIG SEAN
CHANCE THE RAPPER
DRAKE
FUTURE
J. COLE
KENDRICK LAMAR


Best Female Hip-Hop Artist
CARDI B
MISSY ELLIOTT
NICKI MINAJ
REMY MA
YOUNG M.A.


Video of the Year
BEYONCÉ – SORRY
BIG SEAN – BOUNCE BACK
BRUNO MARS – 24K MAGIC
MIGOS FT. LIL UZI VERT – BAD AND BOUJEE
SOLANGE – CRANES IN THE SKY


Video Director of the Year
BENNY BOOM – KEHLANI “CRZY”
BRUNO MARS & JONATHAN LIA – BRUNO MARS “THAT’S WHAT I LIKE”
DIRECTOR X – ZAYN MALIK “LIKE I WOULD”
HYPE WILLIAMS – TYGA “GUCCI SNAKES FT. DESIIGNER”
KAHLIL JOSEPH & BEYONCÉ KNOWLES-CARTER – BEYONCÉ “SORRY”


Best New Artist
21 SAVAGE
CARDI B
CHANCE THE RAPPER
KHALID
YOUNG M.A.


Album of the Year
24K MAGIC – BRUNO MARS
4 YOUR EYEZ ONLY – J. COLE
A SEAT AT THE TABLE – SOLANGE
COLORING BOOK – CHANCE THE RAPPER
LEMONADE – BEYONCÉ


Dr. Bobby Jones Best Gospel/Inspirational Award
CECE WINANS – NEVER HAVE TO BE ALONE
FANTASIA FT. TYE TRIBBETT – I MADE IT
KIRK FRANKLIN FT. SARAH REEVES, TASHA COBBS & TAMELA MANN – MY WORLD NEEDS YOU
LECRAE – CAN’T STOP ME NOW (DESTINATION)
TAMELA MANN – GOD PROVIDES


Best Actress
GABRIELLE UNION
ISSA RAE
JANELLE MONÁE
TARAJI P. HENSON
VIOLA DAVIS


Best Actor
BRYSHERE Y. GRAY
DENZEL WASHINGTON
DONALD GLOVER
MAHERSHALA ALI
OMARI HARDWICK


YoungStars Award
ACE HUNTER
CALEB MCLAUGHLIN
JADEN SMITH
MARSAI MARTIN
YARA SHAHIDI


Best Movie
FENCES
GET OUT
HIDDEN FIGURES
MOONLIGHT
THE BIRTH OF A NATION


Sportswoman of the Year Award
GABBY DOUGLAS
SERENA WILLIAMS
SIMONE BILES
SKYLAR DIGGINS
VENUS WILLIAMS


Sportsman of the Year Award
CAM NEWTON
LEBRON JAMES
ODELL BECKHAM JR.
RUSSELL WESTBROOK
STEPHEN CURRY


Centric Award
FANTASIA – SLEEPING WITH THE ONE I LOVE
KEHLANI – DISTRACTION
MARY J. BLIGE – THICK OF IT
SOLANGE – CRANES IN THE SKY
SYD – ALL ABOUT ME
YUNA – CRUSH FT. USHER


Coca-Cola Viewers’ Choice Award
BEYONCÉ – SORRY
BRUNO MARS – 24K MAGIC
DRAKE – FAKE LOVE
MIGOS FT. LIL UZI VERT – BAD AND BOUJEE
RAE SREMMURD FT. GUCCI MANE – BLACK BEATLES
THE WEEKND FT. DAFT PUNK – STARBOY


Best International Act: Europe
BOOBA (France)
MHD (France)
CRAIG DAVID (UK)
EMELI SANDÉ (UK)
GIGGS (UK)
SKEPTA (UK)
STORMZY (UK)
WILEY (UK)


Best International Act: Africa
AKA (South Africa)
BABES WODUMO (South Africa)
DAVIDO (Nigeria)
NASTY C (South Africa)
STONEBWOY (Ghana)
TEKNO (Nigeria)
WIZKID (Nigeria)
MR EAZI (Nigeria)


Unahisi ni sababu gani zimesababisha Watanzania this time tushindwe kupenya? Niachie comment yako kwenye uwanja wa comments hapa chini.

BET Awards 2017, yafufua bifu la Remy Ma na Nicki Minaj [WWW.BABALAOINK.BLOGSPOT.COM]

Tumeshuhudia disstrack kibao kutoka pande zote mbili na majigambo tofauti, BET Awards 2017 imekuja kufufua bifu la Nicki Minaj na Remy Ma upya kwa mashabiki.
Wakati wa Bifu la Minaj na Remy Ma, kila shabiki alitega sikio lake kusikiliza nani anamuumiza mwenzake kwa punch kali za disstrack zenye maneno yaliyoshiba, wengine walikuwa upande wa Remy Ma na wengine kwa Minaj,licha ya Remy Ma kuwahi kufunguka kwamba bifu lao kashalitupilia huko, mashabiki bado wanahamu nani atavaa urap queen katika game ya Hiphop kwenye tuzo hizi za BET
Kama utakumbuka, Nicki Minaj ameshachukua tuzo ya hiyo tangu 2010, wapo wengine ambao wanaangaliwa katika kipengele hicho kama, Missy Eliot, Young M.A pamoja na cardi B, ila hamu imejaa kwa Remy Ma na Nicki katika tuzo hizo za BET 2017.