Wednesday, November 8, 2017

NEW AUDIO[DOGO JANJA ft ASLAY]-NIMESHAMALIZA-listen,download

https://my.notjustok.com/track/download/id/289587

HIKI NDICHO ANACHOKIFANYA MNYAMWEZI TYGA KWENYE BIRTHDAY YAKE

Mnyamwezi Tyga au unaweza kumuita Kinggoldchains anakuja na style ya pekeake katika kusherehekea siku ya kuzaliwa tofauti na tulivyozoea kutoka kwa mastar kibao. Tyga ameamua kuandaa kitu kinachoitwa Birthday Tour na kuzunguka katika nchi sita duniani na kula bata na mashabiki zake. Kinggoldchains atadondoka katika nchi ya FIRENZE+ LONDON + MILAN + DUBAI + PARIS na atamalizia MIAMI.

Alichokiandika Davido Baada ya Meek mill kuhukumiwa jela


Msanii Davido ambaye uhusiano wake na Meek mill ulianza mwaka 2015 baada ya kushirikiana kutoa ngoma ya “Fans Mi” ameandika haya baada ya msanii Meek mill kuhukumiwa kwenda jela