Mnyamwezi Tyga au unaweza kumuita Kinggoldchains anakuja na style ya pekeake katika kusherehekea siku ya kuzaliwa tofauti na tulivyozoea kutoka kwa mastar kibao. Tyga ameamua kuandaa kitu kinachoitwa Birthday Tour na kuzunguka katika nchi sita duniani na kula bata na mashabiki zake. Kinggoldchains atadondoka katika nchi ya FIRENZE+ LONDON + MILAN + DUBAI + PARIS na atamalizia MIAMI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..19} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..29} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..26} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩h...
No comments:
Post a Comment