Wakati wa mahojiano na ya #MLKNow kupitia Complex yaliyofanyika kwa
heshima ya siku ya Martin Luther King, Jr, J Cole alilazimika kuweka
wazi hatua hiyo baada ya muongozaji wa filamu ya Creed, Ryan Coogler
kumuuliza kwa bahati mbaya, “How did getting married change you?” Kitu ambacho hakujua ni kuwa ndoa hiyo ilikuwa bado haijatangazwa hadharani
“Oh, what is that?!” J cole alijibu kabla ya kulazimika kuweka wazi “That was like one thing to not do”
J cole amemuoa mpenzi wake wa siku nyingi, Melissa Heholt.
powered by @babalaoTV www.babalaoinc.blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..19} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..29} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..26} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩h...
No comments:
Post a Comment