Friday, January 15, 2016

KENDRIC LAMAR NA UFUNGUO WA HESHIMA WA COMPTON [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Kendrick Lamar ni mmoja ya wasanii walioitangaza zaidi Compton ukiachana na wasanii wa kundi la N.W.A, Wakati ana umri wa miaka 8 alienda kushuhudia utengenezaji wa video ya 2pac Shakur na Dr.Dre “California Love”, amewahi kusema kuwa hao ni moja ya watu wenye mchango mkubwa kwenye muziki wake.Powered by www.babalaoinc.blogspot.com @babalaoTV

No comments:

Post a Comment