Saturday, January 30, 2016

THE RETURN YA SANAA MTAA IKO IVI JUMAPILI HII 31/01/2016 [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

           Baada ya kufanya vizuri kwa mwaka jana ilipoanzishwa SANAA MTAA MOVEMENT katikati ya mwezi wa nane (ONE PARU,UNGA LTD) iliweza kufanya mambo makubwa sana ikiwemo kuibadilisha jamii inayowazunguka,vijana hao waliamua kuungana na kuifundisha jamii yao kupitia sanaa na kuipa imani ya kwamba SANAA SIO UHUNI.Kupitia sanaa waliweza kutoa somo la kujikinga na matendo maovu kama WIZI,MADAWA YA KULEVYA,NGONO ZEMBE na tabia nyingne nyingi hatarishi.
          Chanzo chetu cha habari kilipiga story na mmoja wa waanzilishi wa MOVEMENT hii na akasema kwa mwaka huu wa 2016 wamejipanga kufanya mengi sana makubwa na ili kulithibitisha ilo kwa wew ulioko ARUSHA na mikoa ya jirani usikose jumapili hii 31/01/2016 kuanzia saa nane na nusu mchana mpk kumi na mbili na nusu..tembelelea ukurasa wao wa instagram @sanaa_mtaa
Powered by @babalaoTV @prior_prosper www.babalaoinc.blogspot.com


 

No comments:

Post a Comment