Wednesday, January 13, 2016

MANAGEMENT YAMKWAMISHA MCHIZI MOX [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Taicun Ally a.k.a MCHIZI MOX asema tatizo lake kubwa linalo na lililochangia muziki wake kuwa kimya kwa kipindi kirefu hata akijitahidi kurudi kama zamani bado anaishia njiani ni MANAGEMENT kukosekana ya uhakika ambayo itaweza kusimamia kazi zake kuanzia utayarishaji,usambazaji na kujitangaza,aliongea hayo leo mchana katika kipindi kimoja cha redio jijini Dar es salaam.
Powered by babalaoinc.blogspot.com @babalaoTV

No comments:

Post a Comment