Wednesday, January 13, 2016

WASANII WATAKIWA KUJIANDIKISHA COSOTA [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Iko mijadala wasanii wa Tanzania wanaendelea nayo kuhusu jinsi ya kuweka utaratibu wa wasanii hao kulipwa na vituo vya TV na Radio kwa jinsi ambavyo nyimbo zao zinapigwa… kuna nchi ambazo tayari wamesogea kwenye hatua nzuri na utaratibu wa wasanii kulipwa unaendelea kama kawaida.
COSOTA wasema kuna wasanii wa Bongo kama 25 au 30 hivi ambao wanapokea pesa za mirabaha kutoka nje ya TZ… Wasanii hao ni wale waliojiandikisha tu COSOTA na wanatambulika nao, kwa ambao hawajajiandikisha wanashauriwa kujiandikisha pia kwa sababu huenda kuna pesa zao zinaingia toka nje na haziwafikii. 
Powered by babalaoinc.blogspot.com @babalaoTV

No comments:

Post a Comment