Kupitia kurasa ya twitter ya mtandao huo wa ngono wa PornHub, umeandika ujumbe wa kumtakia Kim Kardashian happy 10th anniversary ya video yake ya ngono ambayo aliwahi kujirekodi na mpenzi wake wa zamani Ray J ambae Kim kardashian alijirekodi, Sasa mtandao huo umesherehekea kwa kusema kwamba video hiyo ambayo ilitupiwa kwenye mtandao huo, imetazamwa kwa mara nyingi zaidi kuliko video zingine.
Thursday, March 30, 2017
Kim Kardashian tena kwenye mtandao wa ngono [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]
Kim Kardashian kwenye sakata la ngono mitandaoni.
Kupitia kurasa ya twitter ya mtandao huo wa ngono wa PornHub, umeandika ujumbe wa kumtakia Kim Kardashian happy 10th anniversary ya video yake ya ngono ambayo aliwahi kujirekodi na mpenzi wake wa zamani Ray J ambae Kim kardashian alijirekodi, Sasa mtandao huo umesherehekea kwa kusema kwamba video hiyo ambayo ilitupiwa kwenye mtandao huo, imetazamwa kwa mara nyingi zaidi kuliko video zingine.
Kupitia kurasa ya twitter ya mtandao huo wa ngono wa PornHub, umeandika ujumbe wa kumtakia Kim Kardashian happy 10th anniversary ya video yake ya ngono ambayo aliwahi kujirekodi na mpenzi wake wa zamani Ray J ambae Kim kardashian alijirekodi, Sasa mtandao huo umesherehekea kwa kusema kwamba video hiyo ambayo ilitupiwa kwenye mtandao huo, imetazamwa kwa mara nyingi zaidi kuliko video zingine.
Diamond Platnumz afungua Tawi la Wasafi Rwanda [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]
March 28 tulizinyaka taarifa za mkali wa Bongo Fleva Diamond Platnumz
kukamilisha mazungumzo kuhusu kufungua tawi la Wasafi.Com ncini Rwanda,
kitu ambacho ni kizuri katika kukuza brand yake na vitu kama hivyo.
Hivi unajua yalikuwa vipi malengo ya Diamond Platnumz wakati anawaza kuanzisha platform hiyo ya Wasafi.Com? Kama ulikuwa huju ni kwamba, Diamond Platnumz alifikiria kufungua platform hiyo ili aitumie kuuza ngoma za Wasafi tu, lakini sasa tunaona anavuka hadi mipaka ya Bongo Tanzania.

Thursday, March 23, 2017
AUDIO| FIMBOO |PANISHIT & MACK G| WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM
Bofya hapa https://m.audiomack.com/song/Maradhi_Musik/fimbo kupakua fimbo ya kwao WATU WABAYA CLICK
MITAA YA KATI YA ADORABO MC |AUDIO| WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM
Brand new audio toka kwa @mtublack_2016
Boya hapa https://m.audiomack.com/song/adorabo-mc/mitaa-ya-kati kudownload
Ngoma inaitwa Mitaa ya kati Adorabo mc ft @dipper_rato
Produced by @josephatmosco & @defxtro
New way music & Noiz mekha studio
Boya hapa https://m.audiomack.com/song/adorabo-mc/mitaa-ya-kati kudownload
Ngoma inaitwa Mitaa ya kati Adorabo mc ft @dipper_rato
Produced by @josephatmosco & @defxtro
New way music & Noiz mekha studio
SHOWNIZZY |AUDIO| (CHIZI)
New #SongAlert🎵🎶🎧🎺🎹kwa masikio yako
@shownizzy_shownizzy @swazzy_glorious @fex_wa_kalizone
Chizii#
Bofya hapa kupakua CHIZI
http://mdundo.com/a/26688
💥💥💥💥💥💣
#produced by@fex_wa_kalizone
#InfoPoweredBy #KaliZoneMusic#Kaligang www.babalaoinc.blogspot.com @rodgersbabalao27
Thursday, March 2, 2017
WIZKID AUNGANA NA ALI KIBA.
Starboy mwenye star love duniani kutoka pande za Naijaa Wizkid
amedondoka mkataba mnono na Kampuni ya Sony International.
kupitia mtandao wa RocStar4000 umethibitisha Star boy anayetesa na jiwe la Sweet Love kusaini kandarasi ya kufanya kazi na kampuni hiyo kubwa ya Entertainment duniani.
Hii itakuwa ni habari kubwa kwa mtoto wa Kkoo Ali kiba sasa anaweza kupata nafasi wakafanya kollabo matata na mkali huyo wa kutumbuiza duniani.
Alikiba mwenye tittle best Aftican Act MTV Ema na Wizkid mwenye tittle ya Best Worldwide Act kupitia MTV EMA huenda ndiyo Mwanzo wa Kuzima Kelele za mashabiki wao ambao walitofautiana mwanzoni baada ya MTV EMA kumpatia kimakosa Tuzo aliyoshinda Alikiba kupewa Wizkid.
Mashabiki wanasubiria kolabo tu washikaji si wapo chini ya lebo moja ni mipango tu kwa menejimenti Kama itaamua kutengeneza kolabo la wakali hao.

Jipange kumuona Vanessa Mdee kwenye Season 5 ya MTV Shuga ‘Down South’ mwezi huu
Lile shavu alilopata mwanadada Vanessa Mdee mwishoni mwa mwaka jana la
kuigiza kwenye tamthilia ya MTV Shuga Afrika Kusini kwenye msimu wa
tano, hatimae njiani kutoka. Vanessa Mdee ni miongoni mwa sura mpya za kuzitegemea kwenye series hiyo.
Kama ulidhani kuwa kipaji pekee cha Vanessa Mdee ni kuimba basi jiandae kwa ma-surprise kwani msimu wa tano wa series ya MTV Shuga ‘Down South’ itakuacha mdomo wazi ukijiuliza maswali mengi sana juu ya uwezo wake wa kuigiza.
Kwa mujibu wa series hiyo, Vanessa atauvaa uhusika wa mwanadada aitwaye ‘Storm’,
na hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Watanzania kumuona Vanessa Mdee
akiigiza pia itatusanua uwezo wake mwingine tofauti na uimbaji.
Storm ni nani?
“Storm
ni kipenzi cha kila mtu, mrembo mwenye mvuto wa kumpagawisha mtu yoyote
akatizae mbele yake. Mbali na uzuri wake Storm ameolewa na Rakeem,
lakini maisha ya ndoa yanaonekana kutokompendeza sana mrembo huyo kutoka
Tanzania. Uwezo wa Rakeem kushindwa kuonyesha mapenzi ya kutosha
yanamuacha Storm akitafuta mapenzi hayo sehemu nyingine. Ujio wa Femi
unakuja kwa wakati sahihi kwa Storm. Je, Storm na Rakeem wataweza
kuiokoa ndoa yao? Au ujio wa Femi utavuruga kila kitu.”
Vanessa ataungana na wasanii wengine
kwenye tamthilia hiyo akiwemo Thuso Mbedu, Mohau Mokoatle Cele, Jezriel
Skei, Emmanuel Ifeanyi, Nicki Mutuma na Adesua Etomi.
MTV Shuga ‘Down South’ itaanza kuonekana kuanzia tarehe 08 March 2017 exclusively kupitia chanel ya MTV Base (DSTV Channel 322) na BET (DSTV Channel 129).
Ishu ya Talaka kati ya T.I na Tiny kuwaletea faida
Ile Reality show ya T.I na Tiny imeamua kuisogeza sakata la takalaka katika season inayofuata ya show hiyo.
Kama utakumbuka mwaka jana Tameka “Tiny” Harris alifungua mashitaka ya kuhitaji Talaka kutoka kwa mumewe T.I, wameamua kuisogeza ishu hiyo na kuwa moja ya season yao mpya ambayo itahusisha sana ishu nzima ya Talaka.
Kupitia ripoti kutoka mtandao wa Tmz, umesema kwamba Kuonyesha kwa msimu huo mpya wa tamthilia hiyo itaongeza idadi kubwa ya watazamaji kutokana na wawili hao mahusiano yao yalileta drama nyingi.

VANESSA MDEE ANA ROHO MBAYA! EDU BOY.(WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM)
Underground kutoka Rock City Mwanza Edu boy ameyatoa ya moyoni katika
ngoma yake mpya ya Naieee kuwa wasanii wakubwa wenye majina wanawazarau
wasanii wadogo.
Akifanya utambulisho wa ngoma yake mpya Edu boy amewafungikia wasanii mbalimbali na maproducer wanaobana nafasi kwa wasanii wadogo kuwanyimia mwanga wa kutoka.
Katika mahojiano yake hayo amesema hawezi kumsahau Vanessa Mdee alimuomba kumpostia cover ya ngoma yake lakini jibu alilopewa na Vanessa lilimkatisha tamaa ya kuendelea kufanya mziki.
Katika ngoma ya NAIEEE aliyomshirikisha Rapa kutoka LFLG, Bill Nass anasema kila kitu kilichopo kwenye ngoma hiyo ni maisha yake ya kweli kwenye maisha ya mziki.

Gigy Money achora Tatoo kwenye Kalio! (WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM)
Wapo ambao wamedai kwamba mwanadada huyo amefanya hivyo ili kutafuta kiki kwa kuona kwamba jina lake linaanza kupotea.
Juma Nature : Harmorapa ni ‘Kiboko ya Mabishoo’(WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM)
Msanii mkongwe katika muziki wa bongo
fleva, Juma Nature amembariki rapa anayechipukia Harmorapa na kuweza
kufanya naye kazi chini ya producer T Touchez, iliyopewa jina la ‘Kiboko ya Mabishoo’.
Katika kazi hiyo ambayo tayari imeanza
kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, Harmorapa amewachana baadhi ya
mastaa akiwemo dansa Mose Iyobo, na watu wengine ambao wamekuwa
wakim-‘diss’ kuwa hajui muziki na kusema yeye hajali maneno yao machafu
kwani yeye amekuja kutafuta pesa.
Mbali na Mose Iyobo Harmorapa amechana Jacquline Wolper, Aunty Ezekiel na watu wa WCB
Kwa mujibu wa Harmorapa anadai kuwa kwa
sasa wanafanya video ya kazi hiyo na kusema wanategemea video ya
ngoma hiyo kutoka siku za karibuni.
Subscribe to:
Posts (Atom)
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..19} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..29} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..26} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩h...