Thursday, March 2, 2017

Ishu ya Talaka kati ya T.I na Tiny kuwaletea faida

Ile Reality show ya T.I na Tiny imeamua kuisogeza sakata la takalaka katika season inayofuata ya show hiyo.
Kama utakumbuka mwaka jana Tameka “Tiny” Harris alifungua mashitaka ya kuhitaji Talaka kutoka kwa mumewe T.I, wameamua kuisogeza ishu hiyo na kuwa moja ya season yao mpya ambayo itahusisha sana ishu nzima ya Talaka.
Kupitia ripoti kutoka mtandao wa Tmz, umesema kwamba Kuonyesha kwa msimu huo mpya wa tamthilia hiyo itaongeza idadi kubwa ya watazamaji kutokana na wawili hao mahusiano yao yalileta drama nyingi.

No comments:

Post a Comment