Thursday, March 30, 2017

Diamond Platnumz afungua Tawi la Wasafi Rwanda [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

March 28 tulizinyaka taarifa za mkali wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kukamilisha mazungumzo kuhusu kufungua tawi la Wasafi.Com ncini Rwanda, kitu ambacho ni kizuri katika kukuza brand yake na vitu kama hivyo.
Hivi unajua yalikuwa vipi malengo ya Diamond Platnumz wakati anawaza kuanzisha platform hiyo ya Wasafi.Com? Kama ulikuwa huju ni kwamba, Diamond Platnumz alifikiria kufungua platform hiyo ili aitumie kuuza ngoma za Wasafi tu, lakini sasa tunaona anavuka hadi mipaka ya Bongo Tanzania.

No comments:

Post a Comment