Ukiizungumzia WCB unazungumzia moja kati ya lebo kubwa sana Barani Afrika, ikiwa Harmonize ndio mmoja kati ya wana wanaokinukisha katika lebo hiyo.
Harmonize amefunguka kuwa endapo kibarua kikiota
nyasi kwenye lebo yake ya WCB zipo lebo ambazo yeye kama yeye
anazitamani kufanya nazo kazi.
Harmonize amezitaja Young Money na Roc Nation kama
ndio lebo ambazo anatamani kufanya nazo kazi akidai kwamba WCB ni lebo
kubwa Africa kwahiyo endapo akiondoka hapo hatahitaji tena kurudi nyuma
na hivyo ataenda worldwide.
“Ikitokea kufanya kazi na lebo nyingine, lebo yoyote tunaweza
kufanya kazi ila me ninawish Roc Nation au Young Money kwasababu siwezi
kutoka WCB nikaenda lebo nyingine ya kawaida kwasababu ukizungumzia WCB
unazungumzia lebo kubwa Africa kwahiyo nikitoka Africa natamani kwenda
worldwide.” Alisema Harmonize
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..19} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..29} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..26} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩h...
No comments:
Post a Comment