Hitmaker wa ngoma ya “Hands Up” Young Dee ameendelea kuongeza list ya mastaa kutoka Bongo Flevani wenye followers wengi zaidi katika mtandao wa instagram.
Ni baada ya kutimiza followers Million 1 katika mtandao wa instagram na
kuongeza idadi ya mastaa kutoka Tanzania wenye followers wengi zaidi
katika mtandao huo.
Mastaa wengine wakubwa duniani ambao wametimiza followers Million 1 hivi karibuni ni pamoja na Fat Joe hit maker wa ngoma ya “All the way up” wa nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment