Thursday, November 17, 2016

Mayweather ndani ya upromota (WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM)

Baada ya kufanya kimyakimya kazi ya upromota, sasa bondia nyota Floyd Mayweather ameamua kufanya hadharani. Sasa ameonekana akisimamia pambano la mabondia Badou Jack  (kushoto) na James DeGale (kulia) akiwa ni promota

No comments:

Post a Comment