Tuesday, November 8, 2016

Idris Sultan -: Natamani Lulu anizalie(WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM)

Mshindi wa Big Brother mwaka 2014 Idris Sultan amemtaja mrembo wa Bongo Movie Elizabeth Michael maarufu kama Lulu kuwa ndiye msichana ambaye anaishi katika ndoto zake kwasasa.
“Me naona Elizabeth Michael ametulia sana, ni staa ambaye namuona yuko vizuri, amesimama, mwenye vigezo vya mwanamke ambaye ametulia, anajiheshimu na vitu kama hivyo.”
Hayo ni baadhi tu ya maneno ambayo Idris Sultan alifunguka baada ya kuulizwa ni mrembo wa Bongo Movie ambaye anamtamani kutoka nae.

No comments:

Post a Comment