Imetangazwa rasmi na waandaaji wa tuzo hizo za MTV EMA kuwa Alikiba ndiye mshindi halali wa tuzo ya MTV EMA category ya Best African Act.
Kupitia kurasa yake ya instagram Alikiba ameamua
kuchukua nafasi ya kuwashukura watu wake wa karibu pamoja na mashabiki
zake kwa sapoti ambayo wanampa hadi kuhakikisha ameipata tuzo hiyo.Namshukuru MUNGU Na Shukrani kwa MTV kwa heshima hii, nina furaha sana
kwa ushindi huu, ni heshima kwangu na nchi yangu Tanzania 🇹🇿 pamoja na
East Africa nzima kiujumla. Shukrani sana kwa familia yangu, management
yangu na mashabiki zangu wote.
Ningependa pia kuchukua nafasi hii kushukuru vyombo vya habari vyote,
watangazaji, waandishi na wadau wote wa sanaa kiujumla kwa kunisapoti
katika kazi zangu.
Lastly, nawashukuru wasanii wenzangu wote mlionipa ushirikiano na
kuthamini kipaji changu kwa kuniombea kura zilizonipa ushindi. Ushindi
wangu ni ushindi wa sanaa yetu sote. Proudly Tanzanian 🇹🇿
MUNGU awabariki sana. #TupoPamoja #Kajiandae #KingKiba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..19} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..29} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..26} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩h...
No comments:
Post a Comment