Sunday, October 30, 2016

Bifu la The Game na Meek Mill bado lipo, Meneja wa The Game athibitisha (WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM)

Baada ya Rick Ross kutangaza kuwa bifu la The Game na Meek Mill limeisha, Meneja wa The Game anasema bado bifu lipo na hatua iliyofikia ni kupeana kipigo tu.
Hivi karibuni Rapper Rick Ross alifunguka kutumia kurasa yake ya Snapchat kwa kusema kwamba bifu la The Game na Meek Mill amelimaliza, ila jipya limeibuka kwa meneja wa The Game na kusema kwamba Bifu bado lipo pale pale.
Meneja wa The Game, Wack 100 alifunguka kwa kukoment katika video ambayo ilikuwa ikimwonyesha Rick Ross akiongea kwamba bifu la The Game na Meek Mill limeisha

No comments:

Post a Comment