Wednesday, November 18, 2015

MUDA BADO YA HUSSEIN PANTHER [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Bofya hapa kupakua wimbo http://mdundo.com/song/40975 uitwao MUDA BADO wa kwake HUSSEIN PANTHER ni HIP HOP category na ukiwa ni wimbo wake wa kwanza kuskika.Msanii huyu ni mmojawapo wa wasanii km EMCEE RUDE RODGERS maarufu kama BABALAO,kuna BUG na MBACHO (BAKABAKA WORRIES) na wengine wengi wanaoendeleza harakati za muziki wa hip hop mkoani ARUSHA maeneo ya ONE PARU(UNGA LTD),harakati izo zimepewa jina la SANAA MTAA MOVEMENT..kwa mahojiano au ushauri unaeza cheki nae kwa nambari +255769263033 .
Powered by babalaoinc.blogspot.com

No comments:

Post a Comment