
Plz share
Ule muendelezo wa harakati za muziki wa RUDE RODGERS @rodgersbabalao27 unaendelea chini ya usimamizi wa label ya #RUDE_ZONE_MUSIC na safari hii wimbo umefanyika kwa Producer @goncherbeatz (vocal na mixing) na beat imegongwa na Producer GS yule aliefanya wimbo wangu wa #HAWAPONI.
Artist: Rude Rodgers ft @ziz_infinity
Song: #SITAKI_SHARI
Dropin 27th,dis Friday
Stay tune
Powered by babalaoinc.blogspot.com @vmgafrica @mdundomusictz @mkitodotcom
Cover by #PRIOR_GRAPHICS @prior_prosper
No comments:
Post a Comment