Tuesday, November 17, 2015

AIBU YA BEXY HII HAPA [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

 Wimbo mpya toka kwa Bexy wamusic wimbo unaitwa AIBU anaomba sapoti yako shabiki wake wa nguvu.huu ni wimbo wake mwingine tena baada ya kutoa wimbo unaoitwa Lulu  & ukisinzia.Bofya hapa kupakua wimbo huo http://mdundo.com/song/40158 
Powered by babalaoinc.blogspot.com

No comments:

Post a Comment