Baada ya kufanya mixtape na singles kadhaa pamoja na kutoa bidhaa zilizoambatana na kazi yake ya muziki kama tshts,swetas,vest na kadhalika na baada ya hapo alipitia mambo mengi yaliyohusisha muziki wake na bado hakukata tamaa akasafiri mpaka Dar es salaam na kubahatika kukutana na wadau wa muziki wengi na kubadilishana nao mawazo na kujadili kuhusu muziki wa Tanzania kwa ujumla,na akafanikiwa kufanya wimbo mmoja ambao aliwashirikisha NATIVE na GS (ambae pia ndo mtayarishaji wa wimbo huo uliopewa jina la HAWAPONI..) https://mkito.com/song/hawaponi-ft-native-gs/14569
Baada ya wimbo huo kuskika ulijenga taswira kubwa sana kwa mashabiki,watangazaji,madj na wadau mbalimbali kwamba tangu kuanza kwa muziki wake hajawahi kurudi nyuma.Kwa muendelezo wa kazi zake safari hii amekuja na wimbo mpya uitwao SITAKI SHARI aliomshirikisha ZIZ INFINITY na wimbo huo mdundo umefanywa na producer GS kisha vocal na mixing zikafanywa na GONCHER.
Bofya hapa
http://mdundo.com/song/42139 kupakua wimbo mpya wa Rude RODGERS
http://mdundo.com/a/5272 kwa mawasiliano piga
+255756978662 .