Saturday, October 3, 2015

MWENGE KIWALANI [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

MWENGE KIWALANI NI MOJA KATI YA KANDA MSETO ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KUANZIA UANDISHI MITAMBAO MPAKA MIDUNDO.KANDA MSETO HII INAJUMUISHA WASANII WA WAWILI KUTOKEA TAMADUNI MUSIC NA MMOJA AKIWA ANATOKEA MWENGE NA MWINGINE KIWALANI,NI P THE MC NA ZAIID.KAMA BADO HUJAPATA KUISKILIZA JARIBU KUPATA NAKALA YAKO YA MWENGE KIWALANI KWANI INAKUFIKIA POPOTE PIA IKO MTANDAONI,mkito.com inapatikana umo na KILINGENI MSASANI....
POWERED BY BABALAOINC.BLOGSPOT.COM

No comments:

Post a Comment