NI YULE MSANII WA MUZIKI WA HIP HOP NCHINI TANZANIA ALMAARUFU KAMA RUDE RODGERS a.k.a BABA LAO SIKU YA LEO JUMATATU AMEACHIA MTANDAONI WIMBO WAKE UNAOKWENDA KWA JINA LA VITA VYA HAKI 2015,CHANZO CHETU CHA HABARI KILIPIGA STORY NAE FUPI KUHUSU WIMBO HUO UNAZUNGUMZIA NINI NA UNAPATIKANA VIPI NA HAYA NDO MAJIBU YAKE...
NUKUU..WIMBO WA VITA VYA HAKI NI MOJA KATI YA WIMBO BORA WENYE KUTETEA NA KUPIGANIA HAKI NA NAJUA MMESHTUKA KUSKIA NENO VITA,NDIO IVI NI VITA NA NDIVYO TUNAVYOPASWA KUVIPIGANIA ILI KUITETEA HAKI YA MTANZANIA NA ILI KUJUA ZAIDI KILICHOONGELEWA NI KUTUMA NENO VITA KWENDA NAMBARI +255756978662 KISHA UTATUMIWA WIMBO HUU BURE ..mwisho wa kunukuu.
powered by babalaoinc.blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..19} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..29} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..26} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩h...
nice
ReplyDeleteGangamala kijana hata diamond platinum alivyoanza....
ReplyDeleteyes
ReplyDelete