Wednesday, May 23, 2018

THE INDUSTRY HAPAKUA MAHALI PANGU-[WILDAD]

Aliekua msanii chini ya lebo ya The Industry(WILDAD) inayomilikiwa na NAVY KENZO(AIKA NA NAH REAL),kupitia ukurasa wake wa Instagram aliandika kuwaambia mashabiki wake wamuulize chochote nae atawajibu ndipo shabiki mmoja akamuuliza kwanin ameondoka The Industry na jibu likawa si mahali pake.



No comments:

Post a Comment