Saturday, November 25, 2017
Tuesday, November 21, 2017
Friday, November 17, 2017
Sunday, November 12, 2017
Wednesday, November 8, 2017
HIKI NDICHO ANACHOKIFANYA MNYAMWEZI TYGA KWENYE BIRTHDAY YAKE
Mnyamwezi Tyga au unaweza kumuita Kinggoldchains anakuja na style ya pekeake katika kusherehekea siku ya kuzaliwa tofauti na tulivyozoea kutoka kwa mastar kibao. Tyga ameamua kuandaa kitu kinachoitwa Birthday Tour na kuzunguka katika nchi sita duniani na kula bata na mashabiki zake. Kinggoldchains atadondoka katika nchi ya FIRENZE+ LONDON + MILAN + DUBAI + PARIS na atamalizia MIAMI.
Alichokiandika Davido Baada ya Meek mill kuhukumiwa jela
Msanii Davido ambaye uhusiano wake na Meek mill ulianza mwaka 2015 baada
ya kushirikiana kutoa ngoma ya “Fans Mi” ameandika haya baada ya msanii
Meek mill kuhukumiwa kwenda jela
Subscribe to:
Posts (Atom)
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..19} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..29} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..26} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩h...