Bondia mwenye mbwembwe na asiyewahi kupoteza hata mchezo mmoja kati ya
50 aliyocheza nchini wingereza ametoa tamko kali kwa mpinzani wake
wa karibu ambaye anakwenda kupigana nae siku ya tarehe 26 mwezi ujao
katika ukumbi wa T-mobile Arena jijini La Vegas.
Mayweather amemwembia McGregor kuwa siku ya 26 itakuwa ni kifo ama
kufa katika ukumbi wa T-Mobile Arena ameyasema hayo mbele ya McGregor
ambaye naye hakuwa nyuma katika kuonyesha mbwembwe baada ya kumchezea
Mayweather akionyesha kumdhihaki bondia huyo.
Sasa haya ndio matukio ambayo yametokea pale nchini Wingereza katika mkutano na waandishi wa habari.
No comments:
Post a Comment