Ikiwa kumekuwa na story kitaani za kudai kwamba Billnass ndiye aliyeziba pengo la Godzilla
kwenye game ya music baada ya kupotea, ila personally Billnass
hakubaliani na story hizo kwasababu anadai kuamini kuwa hawezi ziba
pengo la mtu ambaye hajafa.
Billnass ametusanua kuwa Zilla ni
rapper mkali na anayestahili heshima kubwa kutokana na yeye kumtangulia
kwenye game na zipo ngoma zake ambazo anazikubali kinoma kias kwamba
huwa anatamani hata kuzifanyia remix.
Billnass amezitaja Nataka na King Zilla kama ngoma flani hivi kali kutoka kwa Godzilla na anazikubali kinoma kias kwamba huwa anatamani hata kuzifanyia remix.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..19} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..29} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..26} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩h...
No comments:
Post a Comment