Wednesday, April 26, 2017

beat ya ‘Humble’ ya Kendrick Lamar ilikuwa kwa ajili ya rapper huyu(WWW.BABALAOINK.BLOGSPOT.COM)

Ikiwa bado inakimbiza chati za Billboard kwa kuingiza nyimbo zote 14 kutoka kwenye album yake ya “Damn”. ngoma ya Humble ya Kendrick Lamar beat lake lilikuwa kwa ajili ya Gucci Mane.
Baada ya “Humble” kujitengenezea rekodi kwa kumtoa Ed Sheeran kwenye chati za Billboard, producer Mike Will Made it amefunguka kwa kusema kwamba mdundo wa ngoma ya “Humble” ambao ameutengeneza, OG yake ilikuwa ni kwa ajili ya Gucci Mane pindi atakapo toka jela basi mdundo huu ungetumika kumfanya kusikika zaidi redioni, ila mambo yakawa si mambo kutokana na Mike Will Made It kushindwa kumpata Gucci ndipo akaidondosha kwa Kendrick Lamar na akafanikiwa kuileta “Humble” ambayo inaumiza kwa sasa.
Mike Will Made It aliendelea kufunguka kwa kusema kwamba Beat hiyo ilikuwa na swag flani hivi za kundi la NWA ambapo unaweza kufeel kama midundo kutoka kwa Eminem au Dr Dre.








With “HUMBLE.,” I knew that beat was going to capture a moment. It just felt real urgent. I made that beat [last year] when Gucci Mane was getting out of jail; I made it with him in mind. I was just thinking, damn, Gucci’s about to come home; it’s got to be something urgent that’s just going to take over the radio. And I felt like that beat was that. I ended up not doing it with Gucci and I let Kendrick hear it. I was thinking, if Dot gets on this it’ll be his first time being heard on some[thing] like this. At the same time, it kind of has an NWA/Dr. Dre feel, an Eminem kind of feel. So I thought, let me see if Dot f**** with it. And he heard the beat and he liked it. But he was about to give me “HUMBLE.” for [my album] Ransom 2. I love that song so I was like, ‘Man, hell yeah.’ Then he told me that his team was saying he should keep it. And I told him, ‘Bruh, you definitely should keep it, and you should use it as your single.'”

No comments:

Post a Comment