Tuesday, November 29, 2016

Vanessa Mdee ndani ya MTV Shuga (WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM)

Baada ya watu kibao kujitokeza kufanya audition ili kushiriki katika tamthilia ambayo imejishindia tuzo , Vanessa Mdee ametajwa kama moja ya washiriki ambao watahusika katika tamthilia hiyo ya Shuga sehemu ya tano.
MTV Shugar ni tamthilia ambayo inaelezea mapenzi, muziki, mahusiano na Drama ambavyo vyote hivi ni moja ya issue ambazo zinawazunguka watu katika maisha yao ya kila siku, baada ya season nne kufanyika Kenya na Nigeria, inakuja tena kwa mara nyingine South Afrika  kama sehemu ya 5 huku ikiongozana na Vanessa Mdee, Thuso Mbedu, Mohau Mokoatle Cele, Jezriel SkeiEmmanuel Ifeanyi, Nick Mutuma na Adesua Etomi wakiwa na crew nzima ya MTV Shuga.

No comments:

Post a Comment