Rapa mkali kutoka Weusi Joh Makini amewachana wanaoanzisha label hapa
nchini kuwa wengi wao hawajui vigezo vya kumiliki label na badala yake
wanazitumia label kama kiki katika muziki wao.
Joh Makini
Akipiga story ndani ya eNewz amesema, Weusi wana mipango mingi
ikiwemo kuanzisha label yao japo wana baadhi ya vijana wanaowasaidia
lakini hawa wezi kujitangaza kuwa ni label ya kusaidia wasanii kwa kuwa
msaada wanaoutoa ni wa kawaida na sio wakutangaza mitandao.
Hata hivyo Joh hakusita kuelezea mahusiano ya weusi na Lord Eyez
“Lord hajatengwa na bado ni mmoja wa wanafamilia katika kundi
letu la Weusi, kuna wimbo wa Lord tulikuwa studio tukiuandaa juzi japo
watu wanaongea mengi kuhusu ukaribu wetu na Lord kwa sasa ila siyo mbaya
wakituzungumzia kwa kuwa ni sehemu ya maisha yetu”alisema Joh.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..19} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..29} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..26} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩h...
No comments:
Post a Comment