Saturday, October 29, 2016

Dj khaled ameshare sehemu ya kwanza ya kitabu chake “The Keys” (WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM)

Dj khaled ameamua kushare sura ya kwanza ya kitabu chake cha “The Keys”
Baada ya kutangaza kuwa kutakuwa na ujio wa kitabu chake kipya cha “The Keys” ambacho kinatarajiwa kutoka Novemba 22, jana Octoba 28, Khaled alishare sehemu ya kwanza ya kitabu chake kwa mashabiki zake.
Sehemu ya kwanza ya kitabu hicho kimepewa jina “Stay Away from They”, katika sehemu hiyo ya kwanza anapoongelea “Stay Away from They” anaamanisha kwamba kwa mtu ambaye unahitaji kuwa na mafanikio basi jaribu kuwa mbali na ambao wanakurudisha nyuma katika mambo yako ya mafanikio, hii inamaanisha kuchagua marafiki ambao ni sahihi kwako.
“YOU’RE GOING TO BE SO MUCH BETTER ONCE YOU STAY AWAY FROM “THEY YOU’LL FEEL LIKE YOU’RE LIVING A WHOLE NEW LIFE, A LIFE FREE OF HATE, DOUBT, ENVY, AND TRASH VIBES, AND LET ME BE THE ONE TO TELL YOU THAT THAT’S WHEN YOU CAN START WINNING. MAJOR KEY: THE UNGRATEFUL AND JEALOUS “THEY”S ARE THE MOST DANGEROUS “THEY”S OUT THERE.”

No comments:

Post a Comment