Thursday, December 31, 2015

RUDE RODGERS SITAKI SHARI VIDEO OUT NOW [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM

NUKUU kutoka kwenye ukurasa wa facebook https://www.facebook.com/amos.r.rodgers1
Baada ya kipindi kirefu kuskika sauti pekee yake bila kuonekana,,mwaka 2016 nimeamua uwe mwaka wa kwanza kwangu kuskika na kuonekana katika video,,napenda kumshukuru MUNGU kwani kanipigania katika mambo mengi mpaka sasa naeza kusimama na kusema neno na watu wakanielewa,pia nawashukuru wazazi kwa mchango wao wa ushauri na kadhalika,media mbalimbali,watangazaji na madj,watayarishaji wa muziki wote niliowahi kufanya nao kazi km GS,Goncher Beats,Def Xtro,Josephat Tyrol Mosco, Beatsby Reggy na ambao hatukuwahi kufanya kazi pamoja huu mwaka tutasomama bila kusahau ndugu,jamaa na marafiki ambao ndio wafuasi(mashabiki) wa kazi za sanaa yangu ya muziki kwani pia bila nyinyi nisingefika hapa.Pongezi kwa timu nzima ya RUDE ZONE MUSIC,KIKISTAR ENTERTAINMENT kwa kufanikisha zoezi zima la video ya SITAKI SHARI akiwemo DIRECTOR AKIMUR,Tonny Wensensilaus Tarimo,ABDUL,DJ MWANGA,Prosper Prior Mbonea na wote walioko nyuma ya jambo hili.
Kutazama video ya wimbo wangu bofya hapa https://youtu.be/hEdfq4kF6k8








No comments:

Post a Comment