KATIKA KUENDELEZA HARAKATI ZA MUZIKI WA HIP HOP KWA UJUMLA,VIJANA KUTOKA UNGALIMITED MAENEO YA ONE PARU JIRANI NA RUDE ZONE WANAKULETEA SANAA MTAA MOVEMENT INAYOJUMUHISHA MAMBO MBALIMBALI KATIKA KUIJENGA SANAA ILI IWEZE KUSAIDIA KUIJENGA JAMII INAYOWAZUNGUKA,KATIKA KUPIGA STORY NA MMOJA WA VIJANA HAO (SAMSON WA ZAMANI) ALIWEZA KUTUAMBIA MACHACHE AMBAYO NI PAMOJA NA KUISAIDIA JAMII KUPITIA SANAA KUONDOKANA NA JANGA LA MADAWA YA KULEVYA NA TABIA ZOTE HATARISHI NA KUFUNDISHA MBINU MBALIMBALI ZA KUJIKWAMUA NA UMASIKINI.NI TAMASHA LA KIHARAKATI LINALOJUMUISHA WATU WA RIKA LOTE NA KUNA KUA NA VITU KAMA RAP PERFOMANCE,CYPHER,FREESTYLEBATTLE,BREAK DANCE,ELIMU KUHUSU HIP HOP,KUJIKINGA NA MADAWA YA KULEVYA nk.#KESHO JUMAPILI TAR 13/09/2015 UNGALIMITED ENEO LA ONE PARU KUANZIA SAA 8 MCHANA MPAKA KUMI NA MBILI_...HAKUNA KIINGILIO...MSANUE DADA AJE NA KAKA..BABA AJE NA MAMA..BIBI AJE NA BABU TUJUMUIKE FAMILIA NZIMA.. SANAA MTAA ELIMISHA JAMII...powered by WWW,BABALAOINC.BLOGSPOT.COM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..19} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..29} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩ha...
-
❝BABU MWENYE NYUMBA❞ {♡Love Story♡_____Part..26} ∪₥ri_____+ ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍ ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿 ₩h...
No comments:
Post a Comment