Thursday, September 10, 2015

HIKI NDICHO ALICHOSEMA ROMA BAADA YA WIMBO WAKE KUTISHIWA KUFUNGIWA [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

ULE WIMBO ULIOKUA GUMZO TANZANIA NZIMA NDANI YA MASAA MACHACHE TANGU UMEKWENDA HEWANI SIKU YA JANA TAR 9/9 ..UNAOKWENDA KWA JINA LA VIVA ROMA VIVA BAADHI YA VITUO VYA REDIO VIMEKATAA KUPIGA WIMBO HUO NA VINGINE KUTOMALIZIA KUUPIGA WOTE REDIONI HATIMAYE KUUKATISHA KWA MADAI ROMA AMETUMIA LUGHA KALI...KWA UPANDE WA ROMA KUPITIA UKURASA WAKE WA INSTAGRAM AMEANDIKA WIMBO WAKE WAMETISHIA KUUFUNGIA ILA ANAAMINI SIKU TAYARI IKIWA HURU WIMBO HUO NDIO UTAKUA WIMBO WA TAIFA...akamalizia na VIVA ROMA VIVA.powered by www.babalaoinc.blogspot.com

No comments:

Post a Comment