Saturday, August 1, 2015

MWANAMUZIKI ERICA AAMUA KUPIGA MOYO KONDE [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Mwanamziki Erica Lulakwa ambaye kwa hivi sasa anaishi na kufanya shughuli za muziki nchini Marekani Los Angeles ameweza kutoa Albamu yake ya kwanza inayo kwenda kwa jina la “PIGA MOYO KONDE.” Album ya Piga Moyo Konde yenye nyimbo 10 Inapatikana katika vianzo vya muziki kama vile Google Play, Itunes na kd. Karibuni, itaanza kupatikana Tanzania. Baadhi ya nyimbo ambazo zimeshaanza kusikilizwa kwa wingi duniani ni kibao cha “DUNDIKA” ambacho kina midundo ambayo inaendana na jina la wimbo wenyewe na utamu usio na mwisho.Kwa maelezo zaidi kuhusu Erica unaweza kumpata kutumia:- https://www.ericalulakwa.com https://www.instagram.com/ericalulakwa https://twitter.com/ericalulakwa https://www.facebook.com/EricaLulakwa

No comments:

Post a Comment