Saturday, August 1, 2015

MTAMBUE MWANADADA PEKEE ALIEINGIA SITA BORA KWENYE BBS JIJI LA ARUSHA [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

FEMALE RAPPER FRIDA AMANI A.K.A REKIRA MWENYE UMRI WA MIAKA 20 AMBAE BADO NI COLLEGE STUDENT NA PIA NI PRESENTER,MBALI NA VITU VYOTE IVYO HAVIKUMZUIA YEYE KUFANYA VIZURI KWENYE MASHINDANO HAYO MAKUBWA NCHINI TANZANIA YAJULIKANAYO KAMA BONGO STAR SEARCH,KWA UWEZO ALIOKUA NAO NDO VIGEZO VILIVYOWAPELEKEA JUDGES KUMTEUA YEYE NA WENZAKE KULIWAKILISHA JIJI LA ARUSHA...ANAHITAJI SUPPORT YAKO ILI KUFIKISHA MALENGO YAKE..HABARI ZAIDI NA YOTE YATAKAYOKUA YANAJIRI MTAYAPATA HAPA..POWERED BY WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM

No comments:

Post a Comment