❝BABU MWENYE NYUMBA❞
{♡Love Story♡____Part..35}
∪₥ri___+
{♡Love Story♡____Part..35}
∪₥ri___+
ℳtunzi: ₲eofrey Mustafa, ₳rtist Jafa ✍
ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿
₩hatsApp: 0⃣7⃣1⃣3⃣0⃣2⃣4⃣2⃣4⃣7⃣
ℳaahali: Dar es salaam🇹🇿
₩hatsApp: 0⃣7⃣1⃣3⃣0⃣2⃣4⃣2⃣4⃣7⃣
"Heri ya wapenda nao, mpende akupendaye"
ILIPOISHIA........<<<
Basi baada yakumaliza kuongea ivyo Kadodo alishangaa Sana kuona yule rafiki yake akichomoa bastola aina RH 68 nakumkabidhi huku akimwambia yeye ampatie kitabu ambacho kina miliki biashara zake zote, Kadodo bila kusita akatoa Diary Book kisha akampatia na baada ya hapo akachukua bodaboda nakuondoka Kwa kasi ya hajabu.
Alifika External akapita huku Taa.....!!!!

ENDELEA....>>>
Kadodo akiwa speed sana alifika makutano ya pale external Taa zilikuwa hajialuhusu gari za upande wake lakini yeye kwakuwa alikuwa na haraka akaingia tu ivyo ivyo maskini Kadodo akakutana na na DSM la gongo la mboto akapigwa nakupelekwa pembeni kabisa ya Barabara..!!! Haraka watu wakaja nakuanza kumpa msaada..damu zilikuwa zinamtoka mpuani huku mkono wake wakushoto ukiwa umevunjika mala tatu...!! Huwezi amini Kadodo akasimama nakumwambia mmoja wa bodaboda ampeleke haraka nyumbani kwake...!! Askari walimshangaa sana mpaka wakadhani uenda uyu jamaa katoka kuiba lakini walishindwa kupata jibu la uhakika maana Kadodo wanamfahamu karibu watu wote wa pale External maana kabla yakuwa mfanya biashara alikuwa ni mwalimu pale makuburi kwaiyo hakuna hasiyemfahamu kabisa na icho ndio kitu pekee kilicho msaidia kuweza kupata msahada na wale askari kumwacha hapo yeye ndio chanzo cha ajali.

Basi Kadodo akiwa bado hajui Kama kavunjika yote iyo
ilitokana na kudata na tukio la mkewe, aliingia ndani moja Kwa bila ata
kupiga hodi. Alipofika sebureni akawa anasikia kilio cha utamu
kikisikika vizuri kabisa masikioni mwake nakupenya mpaka kwenye moyo
wake..!! Akajisemea siwezi kumuacha kabisa uyu mbwaa aendelee kuishi
sasa ngoja nimtangulize motoni na Mimi nitamfuata muda mfupi tu ujao,
ndio akaichomoa ile basitola kisha akakikisha riasi zipo full ndipo
akausogelea mlango wa chumbani kwake nakuanza kuusukuma taratibu
kabisa....!!
Lakini wakati anaendelea kuufungua mala ghafla akasikia sauti za watu wakiongea nje huku wakianza kuvunja mlango wake nakuita "Mzee Baruani kimbia unakufa, wangine wakisema Groly husifungue mlango wa chumbani..!!!" Hapo ndio Kadodo akajua kumbe taarifa tayari zimesha vuja Sasa hapa simwachi mtu kabisa yani jino moja. Basi akiwa anaanza kuufungua mala ghafla ukasukumwa kwa nguvu na mtu toka chumbani naye ni Babu, akamfanya Kadodo adondoke pembeni na ndipo akaanza kupata yale maumivu ya ule mkono wake Sasa..!! Damu zikawa zinatoka kwa wingi sana..Kadodo akatulia kidogo pale sakafuni huku akiwa analia kwa maumivu.. Basi Babu akaufikia mlango lakini kumbe Kadodo alikuwa kabana kabisa na kitasa na funguo alikuwaNazi..!!
Ikabidi Babu arudi kuchukua funguo, muda uo na Groly alikuwa akitoka kule chumbani huku akiwa na chupi tu basi Basi akamshika mkono Groly nakumvutia kwake huku akimwambia subiri nimshugulikie uyu mpumbavu maana yeye kaja kutumaliza sisi... Ndipo Mzee akachukua fimbo ya dekio kisha akampiga kichwani Kadodo nakumchana muda uo watu walikuwa wakishuudia kupitia madilishani..Mlango walishindwa kuvunja maana ilikuwa ni greel tena original kabisa kwaiyo wa askari na baadhi ya watu ikabidi waanze kuuchimba ule mlango kabla mambo hayajawa mabaya mle ndani.

Basi baada yakuona Kadodo katulia kabisa Babu akasogea ili
achukue ile funguo, ile kuinama tu Babu alishangaa ghafla kisu kidogo
kikiingia jichoni mwake nakumpa maumivu makali sana.. Oohhh
weeeeeee..!!! Alitoa sauti Kali mpaka watu waliokuwa nje walimsikia
nakuanza kusema tayari Mzee Baruani kauawa..!! Lakini mbona hatujasikia
mlio wa bunduki. Basi Kadodo akaanza kumfuata mkewe.. Mkewe kuona vile
ikabidi ajitetee maana alijua hakuna kupona hapa, ndipo akachukua maji
nakumwagia usoni Kadodo alipofungua macho hakumuona mkewe.. Ndipo
akamrudia Mzee Baruani akampiga risasi NNE mbili mkono wakulia mbili
wakushoto kisha akampiga na nyingine kwenye pumbu zake zote mbili..
Zikapasuka pale pale... Hapo Kadodo akamwambia; "Nimelizika Mzee, Sasa
ngoja nimfuate na Malaya wako"
Basi kule nje walikuwa tayari wanafanikiwa kuvunja mlango
na juudi ziliongezeka baada yakuona kelele za Babu mwenye nyumba
zimekuwa kali kisha akaanza kukoloma tu..!! Kadodo akamfuata mkewe Groly
chumbani kwao, ila Groly alikuwa tayari kafunga mlango bahati mbaya
Kadodo alikuwa na funguo zingine. Basi akafungua mlango nakumkuta Groly
amekaa huku akilia kwa uzuni nakuomba msamaha pale kitandani. Lakini
kadodo akamwambia hapana mpenzi umechelewa kisha akamtia kisu cha jicho
Groly alilia Sana lakini ndio ivyo... Lakini bahati nzuri askari wakawa
tayari wameingia ndipo Kadodo akamuacha Groly kisha akafungu mlango.
Baada yakumaliza kufunga mlango akambusu mkewe kisha akamwambia naomba
peleka salam zangu nyumbani na husifiche chochote... Baada yakumaliza
kusema ivyo haraka haraka akachukua mtandio wa Groly akaufunga kwenye
feni kisha akajinyonga nakupoteza maisha pale pale..!! Groly alikuwa
akilia huku USO wake wote umejaa damu wala hakuona chochote mpaka
alipofika muhimbili nakupewa huduma ya kwanza.
Baada ya muda mlefu kidogo kupita, taarifa zilimfikia Groly
kuwa Mzee Baruani amefariki baada yakutumia mashine muda mlefu, Groly
aliona dunia haina maana tena. Ndipo siku moja akiwa pale hospital
akajitupa toka gholofa ya tatu mpaka chini nakufa hapo hapo.
MWISHO MWISHO MWISHO MWISHO.
WA STORY YETU YA BABU.
WA STORY YETU YA BABU.
Tamu sana beby
ReplyDelete