Sunday, June 17, 2018

STORY [BABUMWENYE NYUMBA 13 14 15]

"BABU MWENYE NYUMBA"
  (Love Story_____Part..13)
Umri_____+🔞
Mtunzi: Geofrey Mustafa, ©Jafa.
Mahali: Dar es salam Tz.
WhatsApp: 0713024247.
ILIPOISHIA.....<<<
Bibi akamwambia kwanza; "Kijana wangu ukisikia ukubwa ndio huu unaanza kukufika kwaiyo naomba uwe na kifua cha kiume ili uweze kulipokea ili tukio baya na kubwa kwenye maisha ya mahusiano na ndoa kwa ujumla husipo fanya ivyo ukitumia hasira utakuja kujuta baadaye..!!"
Kadodo akaanza kupata picha lakini tatizo aelewi iyo picha imepigiwa wapi au inapigiwa wapi mpaka muda huu, basi akamsogelea karibu kabisa yule Bibi kisha akamwambia kwa sauti ya chini yenye msisitizo; "Mama niambie sasa kimetokea nini au nini kinaendelea mpaka usawa huu Mama..???"
Hapo ndipo Bibi akaamua ku.....!!!!
                       ENDELEA KUSOMA....>>>
Basi Bibi akaona hisiwe tabu kwakuwa mumewe kayataka mwenyewe ngoja ayapate sasa maana umri umeenda lakini bado anafanya ujinga. Ayo yalikuwa mawazo ya yule Bibi aliyekuwa akijifunga kikoi chake vizuri huku akimuelekeza Kadodo akimuongezea na maneno ya uchochezi; "Mjukuu wangu Kama ulidhani umepata mke pole yako, yule sio mke ukitaka kuamini ilo nenda kwenye iyo bafu ta wote ukashuudie....!! Ila naomba husijichukulie sheria mkononi utakuwa umefanya makosa.!!"

Basi Kadodo akaenda kwa kasi ya risasi akapiga teke ule mlango, akazama nao mpaka ndani....!! Mala ikasikika sauti ya Groly; "Mamaa yamenikuta niliyikuwa nayatafuta....!!
Mala kikasikika kibao " Paaaaaaa....!!*** niambie uyoo Mzee yukwapi..???
Alikuwa ni Kadodo akimwambia Groly, maana alishangaa Sana kumkuta Groly akiwa peke yake mle bafuni huku akiwa uchi na nguo yake ilikuwa imetundikwa kwenye enga ya mle bafuni...!! Groly akamjibu Kadodo huku akimshika miguu akilia kilio kizito; "Kadodo mume wangu sijafanya naye chochote niamini mume wangu nakuomba..!!"
Wakati uo yule Bibi alisogea mpaka mlangoni, aliposikia Kadodo anauliza kuwa Mzee yukwapi hapo ndipo. Bibi akajua uenda mume wake ametumia dawa fulani yakujificha ndani ya Giza ambayo ilitumika sana kwenye vita ya kagera na askari wetu waliokuwa wanafanya upelelezi ndani ya imaya ya IDD amini dada, Bibi akasema; "Sikubali kabisa  yani uyu mpumbavu anataka kunifanya Mimi nionekane muongo, ngoja niende kumchukulia Antibiotics yake Leo analo mkosa aya huyu..!!"
Basi Bibi akatembea haraka haraka kuelekea chumbani kwake, na muda mfupi tu akawa amerudi, akaenda moja kwa moja mpaka pale kwenye eneo la tukio muda uo tayari na yule Kijana aliyekuwa amekuja na Mzee baruani alikuwa naye amesha amka kwaiyo alikuwa yupo pale eneo la tukio. Basi Bibi akajifanya kuuliza; "Wajukuu zangu kumetokea nini hapa jamani wanangu..??"
Basi Kadodo kwakuwa alijua Bibi aliuliza vile makusudi, ikabidi naye Kadodo ajifanye kumsimulia;
"Yani kama unavyo ona Bibi uyu katoka muda mlefu sana kule chumbani akidai anaenda kujimwagia maji ili apunguze joto, lakini tangu alipotoka mpaka saizi ni zaidi ya saa zima..!! Nikaona bora nifuatilie maana saizi ni usiku lakini nilipofika hapa bafuni kabla sijagonga nikasikia sauti za mahaba sikuamini kabisa..!!"
Bibi akajifanya kuuliza tena;
"Kwaiyo alikuwa na nani na uyo mwingine yukwapi sasa ili taratibu zingine zifuatwe..!!"
Kadodo akamwambia, muuliza uyu Malaya maana ata Mimi nimefungua mlango tena kwa kuvunja lakini sijakuta MTU zaidi ya uyu Malaya wake..!!
Bibi akatabasamu kisha akatoa kiberiti nakuchoma dawa fulani ya majani makavu inaitwa mafumbasha, ilipowaka kidogo akaizima kisha ikawa inatoa Moshi TU.
Mala ghafla Babu mwenye nyumba akatokea kwenye moja ya kona huku akikohoa peke yake.. Koho..kohokohooo..!!!
Muda uo huo na umeme ukarudi kukawa kweupe balaa hapo sasa kila kitu kikawa live..!!
Kadodo; "Yani Groly Wewe ndio wakutembea na mbabu kama uyu kweli Groly... Ivi umekosa nini kwangu Groly...!! Kweli wanawake hamna shukrani kabisa Aisee..!!"
Alikuwa anaongea Kadodo mpaka anatoa machozi, maana katoka kumuona majuzi tu, muda uo Mzee Baruani alikuwa kainama tu huku akijua aliyekuwa kaleta dawa ni mke wake tu hakuna mwingine maana Kadodo alikuwa tayari kashindwa kumuona kabisa.
Basi baada ya Kadodo kuendelea kuongea pale huku akitaja taja mpaka majina, ikabidi yule Bibi amshike begani huku akimwambia; Punguza hasira ebu bana kifua Wewe mwanaume bwana, yanini uongee yote ayo wakati inaonekana wazi kabisa nini kilicho tokea na wahusika tunao hapa..!! "
Baada yakumaliza kumwambia maneno machache Kadodo, akawaambia wote wamfuate ndani kwake maana wakiendelea kukaa pale watakuja kusababisha watu wajue alafu ikawa aibu kwa kila mmoja.
Lakini Kadodo yeye aliendelea tu kusema; "Bibi naomba mnielewe kuanzia sasaivi simtaki uyu mwanamke ni alamu kwangu..!!"
Lakini Bibi akamjibu huku akimsihi; "Kadodo naomba uwe mpole mjukuu wangu, kwanza mkeo kasema hawaja fanya chochote alafu pia kumbuka wanawake wote ni wale wale utaacha wangapi mjukuu wangu, punguza hasira ngoja nikamfanyie uchunguzi sawa mwanangu...!!?"
Hapo kidogo Kadodo akawa mpole akaacha kuongea ongea, akasema tu "Sawa Bibi lakini... Roho yangu haina Amani kabisa"
Bibi akamjibu; "Naomba potezea kabisa chukulia kawaida vinginevyo utachukua maamuzi Malaya alafu ukajutia, utamuacha uyu alafu ukaja kumkumbuka shauri yako.!!"

Kwa upande wa Babu alikuwa Kama kashonwa mdomo vile kwanza alikuwa na hasira kwanini kafumaniwa wakati bado hajampiga pumbu Groly mwenyewe...!! Pili alikuwa kachukia kwanini mke wake kamwaibisha kwa kuleta ile dawa ya mavumbasha...!! Lakini yote tisa kumi ni je; Kadodo akiamua kuvunja mkataba nakuama si ndio atakuwa kaikosa kabisa kuma yenyewe mazima..!!  Hapo Babu ndio hasira zikazidi...hakukubali kula Kwa macho.!!
Ayo ndio yalikuwa mawazo ya Babu mwenye nyumba kichwani mwake.
Wakiwa wameketi pale sebureni kwa Mzee Baruani watu watatu yani Kadodo yule Kijana mgeni wa Babu alafu na Babu mwenyewe, muda uo Bibi alikuwa chumbani pamoja na Groly. Basi Bibi akaanza kumpanga Groly aseme uongo kumsingizia Babu ili aokoe jahazi lake la ndoa  ambalo linaelekea kuzama..!; "Bibi ebu niambie ukweli ilikuwaje mpaka ukafikia hatua hii mjukuu wangu..??"
Groly akamjibu; "Bibi ni shetani tu maana Kadodo yupo busy sana hanipi haki yangu ya ndani, kwaiyo Babu alianza kunifuatilia toka muda mlefu Sana tangu yule house girl akiwepo nilitamani nikwambie lakini nikaona itakuwa sio vizuri Mimi ni MTU mzima ngoja nimkatalie tu basi ikawa ivyo. Lakini leo ndio aliponiona nakunijaribu nikashindwa kujizuia Mimi Bibi....! maana nina nyege sana...!! Kadodo hanitombi kabisa nakosa raha ya ndoa...nisamehe sana Bibi..!!"
Bibi akamjibu; "Nikusamehe nini mjukuu wangu, kama kutombwa na uyo Mzee Baruani nimesha tombeka sana wee fikiria tangu mwaka 1963 mpaka leo mwaka 2017 kuna miaka mingapi hapa, alafu eti niendelee kumuonea wivu au kukuchukia wewe sina mpango kabisa mjukuu wangu. Ila tatizo lipo kwako mwenzangu ambaye ndoa yako ndio kwanza haina ata mwaka mmoja..!!"
Basi baada yakumaliza kuongea Bibi akamfuata Kadodo nakumwambia kila kitu huku akimsihi kuwa Groly hajafanya mapenzi kabisa na Mzee Baruani, ata ivyo ashukuru kwani  Groly anamsimamo kwani alimkatalia kabisa Mzee Baruani...!! Na ndio ikawa bahati nzuri tumewaona wakiwa bado... Alafu pia tatizo lipo kwako Kadodo maana nasikia hampi unyumba mkeo unajifanya upo busy muda wote... Sasa ilo ni tatizo je angechepuka huko nje ungejua....!! Uzembe wako mwenyewe ata ningekuwa Mimi nisinge vumilia kabisa akah..!"
Basi Mzee Baruani akaomba msamaha sana pale hasa kwa Kadodo ambaye alikuwa jicho nyanya, Kadodo akasema amemsamehe Mzee Baruani isipokuwa Groly ndio hawezi kumsamehe mpaka waende kupima ili apate uhakika Kama kweli hakumsaliti. Baada yakumaliza kuongea ivyo Kadodo akainuka nakuondoka zake huku akimuacha Groly pale pale sebureni kwa Mzee Baruani akiwa na yule Bibi. Basi ikabidi Babu aende kulala na yule Kijana wao ambaye ni mgeni kisha Groly akaenda kulala na Bibi, huwezi amini Kadodo kila akilifikiria umbo zuri na tamu la mkewe Groly mboo yake ilidinda nakujikuta akijuta kwanini kamuacha kule ndani... Wakati Babu naye yupo huko huko hapo ndio akaikumbuka ile nyimbo ya Peter Msechu  anayoitwa hasira hasata. Akili alijua kweli Groly hakufanya mapenzi na yule Babu ilo akamsifia mkewe lakini alikuwa analeta ubishi ubishi tu ili naye aonekane kachukia sana.
Kwa upande wa Babu baada yakuona amekosa kabisa usingizi, akaamua kwenda chumbani kwa ili......!!!!
"SHARE, LIKE, COMMENT ILI  IJE NYINGINE"
 
⚠Likes zikifika 400, naleta ifuatayo haraka⚠
                       INAENDELEA


"BABU MWENYE NYUMBA"
(Love Story_____Part..14)
Umri_____+🔞
Mtunzi: Geofrey Mustafa, ©Jafa.
Mahali: Dar es salam Tz.
WhatsApp: 0713024247.
ILIPOISHIA........<<<
Basi ikabidi Babu aende kulala na yule Kijana wao ambaye ni mgeni kisha Groly akaenda kulala na Bibi, huwezi amini Kadodo kila akilifikiria umbo zuri na tamu la mkewe Groly mboo yake ilidinda nakujikuta akijuta kwanini kamuacha kule ndani... Wakati Babu naye yupo huko huko hapo ndio akaikumbuka ile nyimbo ya Peter Msechu  anayoitwa hasira hasata. Akili alijua kweli Groly hakufanya mapenzi na yule Babu ilo akamsifia mkewe lakini alikuwa analeta ubishi ubishi tu ili naye aonekane kachukia sana.
Kwa upande wa Babu baada yakuona amekosa kabisa usingizi, akaamua kwenda chumbani kwa ili......!!!!
  
                   ENDELEA MWENYEWE....>>>
Babu aliamini kabisa endapo wakienda kupima ikaonekana kweli Groly hakufanya mapenzi basi wanaweza kuama kabisa na nyumba yenyewe alafu yeye akawa ndio kamkosa mtoto wakihehe mazima..!! Basi alichoamua kufanya ni kuamka nakuanza kunyata akielekea kwenye chumba chake ambacho kwa sasa kalala mke wake pamoja na Groly...!!!
Lakini ile anafika mlangoni tu mala Groly akaanza kupiga kelele "hapana Kadodo...Sijafanya mapenzi na Babu... Naomba yaishe mume wangu husifikishe nyumbani...!!"
Babu akagundua kuwa alikuwa anaota ikabidi asimame kidogo asubilie atulie... Lakini chakushangaza akamsikia mke wake ambaye ni yule Bibi akiongea; "Weee Groly, Groly ebu amka kwanza unywe maji maana unaota ndoto mbaya zakuweweseka nakupiga kelele..!!"
Babu kusikia vile ikabidi aanze kuondoka haraka haraka nakurudi zake chumbani maana dili limeshakuwa dirisha, mkewe kaaribu.
Basi ikawa ndio ivyo kulipo pambazuka asubuhi na mapema ikabidi Bibi asimamie zoezi zima mpaka ahakikishe limekamilika kwanza kasababisha mume wake Pili yeye iyo ndio kazi yake upatanishi wa nchi na nchi waasi au mambo yoyote yakisiasa kwaiyo ili lilikuwa ni swala dogo sana kwake.
Walifika maeneo ya mikocheni Bibi akapaki gari yake na wote wakatelemka kisha yule Bibi akawa anasalimiana na Mama mmoja ivi wamakamo mwenye mwili mwembamba akiwa hana shepu kabisa, na baada ya hapo alitutambulisha Kwa yule Mama na hazikupita dakika kadhaa tukaitwa kwenye moja ya chumba ambacho ni mahalumu kwa kazi zake. Nikiwa na Kadodo pamoja na yule Bibi nikaambiwa nikojoe mkojo kidogo, kisha nikachomwa na sindano moja mkononi, baada ya hapo nikaambiwa naweza kukaa, kisha yule Mama akatuambia yeye anatumia motambo yakimataifa maana yupo pale Kama mfanyakazi Daktari wakimataifa au Daktari hasiye na mipaka. Kisha akaongeza kwa kusema " Nadhani wote ni wasomi sasa naomba macho yenu muangalie iyo screen hapo na msome majibu au matokeo ya vipimo sawa jamani, ila Kama kuna mtu atakuwa hajaelewa basi awe huru kuniuliza..!"
Huwezi amini kwani mpaka Groly mwenyewe alishangaa uwezo wa ule mtambo maana ulianza na umri wake kisha ukaja na uzito wake, baada ya hapo sasa ukaonyesha lini mala yake ya mwisho kutombwa na ukasema kuwa hakukojoa, ila kuna siku alikojoa ila hakutombwa..!! Iyo Groly akajua ni ile siku ambayo Babu alimnyonya sana kisimi chake. Mtambo ukaonyesha kuwa Groly kafanya mapenzi mala tatu tu tangu avunje ungo na tarehe ukaonyesha kabisa uzuni Kadodo alizikumbuka vizuri kabisa zile tarehe, Kadodo akajikuta akipata furaha ghafla nakumfuata mkewe alipokaa akampa busu zito huku akiomba msamaha yeye mwenyewe tena.
Baada ya hapo mtambo au vipimo vikasema Groly bado ana nyege asilimia 99% inamaana moja iliyopungua ni ile yakutoka bikra yake tu..!! Ila bado ajakutana na kitombo chochote cha mahaba mpaka mkundu wake ubaki wazi....!! Yani icho kitombo kinaitwa (wiki mala moja)
Yule Bibi akamwambia Kadodo kwa sauti ya ukali kidogo "Unaona sasa kumbe mtoto bado kabisa uyu, alafu kumbe bikra yenyewe umeitoa mwenyewe si bahati iyo..!! Sasa kinacho kufanya hushindwe kumtimizia haki yake ya ndani mpaka anataka kutekwa na Mzee Baruani ni nini....?? Tena shukuru Mzee mwenyewe hakufanya chochote.!!"
Basi Kadodo hakuwa na neno kabisa maana kufikia hapo aligundua kuwa yeye ndio sababu ya yote ayo, ikabidi awe mpole tu. Lakini ata Groly pia licha yakuonekana msafi yani hakufanya mapenzi na mtu yoyote tofauti na mume wake, yeye aliendelea kumsihi mume wake amsamehe kabisa na kila kitu kiishie hapo "Nisamehe sana Kadodo sio kosa langu ni yule Mzee Baruani aliingia mle bafuni nakuanza kunilazimisha nifanye naye mapenzi Jambo ambalo sikuwa tayari kabisa."
Kadodo akamwambia nimekusamehe Groly tena nina Amani kabisa, maana nimegundua hauna kosa kabisa kwanza yule Mzee uenda alikumwagia madawa kukupoteza fahamu.!!"
Basi Groly kusikia ivyo akapata nguvu akaongeza kwa kusema "Kweli kabisa jamani Kadodo, maana huwezi amini nilikuwa sijielewi kabisa nilishindwa ata kupiga kelele..!!
Basi baada yakumaliza kufanya uchunguzi Kadodo na Groly wakaaga nakuanza safari yakurudi nyumbani Mabibo, walifika lakini mji ulikuwa kimya sana, lakini hawakujali walipitiliza mpaka ndani kwao kisha Groly akaanza kuandaa chai maana ilikuwa ni SAA mbili na dakika kadhaa ivi za asubuhi. Kadodo akaamua kubadilisha style ya maisha yake, kwani akawa sambamba na mke wake Groly kwa kila hatua Kama kumsaidia kuwasha jiko la ges huku akimshika shika kiunoni ili mladi kumpa faraja tu hasiwaze chochote kibaya.
Na huwezi amini siku iyo Kadodo akaamua hasiende kabisa kazini yani kule shule anakofundishia alimpigia tu Simu mwalimu mkuu nakumwambia kuwa hatofika anajisikia vibaya Sana siku iyo. Kwakuwa ilikuwa sio kawaida yake mwalimu mkuu alimuelewa japokuwa utaratibu ni lazima aende kuweka saini yakuonyesha ni mgonjwa.
Siku iyo Kadodo alinunua pweza mzima mpaka Groly akashangaa, kisha akamwambia mke wake amuandalie supu ya ukweli kabisa.!! Kwakuwa Groly hajui kazi ya pweza basi alifanya Kama alivyoambiwa na mume wake..!
Baadaye kidogo walisikia sauti ya yule house girl akiongea na Babu mwenye nyumba hapo Kadodo akajua uenda wameamua kumrudisha house girl wao ili kupoteza hii skendo iliyotokea, Groly naye alimsikia yule house girl lakini alikausha tu maana tayari ana majanga yake hakutaka kabisa kuleta shobo.
Lakini hazikupita ata dakika kadhaa mlango wao ukaanza kugongwa..
NGO..NGO..NGOOOO...!!!
Je; atakuwa nani uyoo.. endelea kufuatilia..>>
"SHARE, LIKE, COMMENT, ILI NIENDELEE."


                         ITAENDELEA
  

"BABU MWENYE NYUMBA"
  (♥Love Story♥_____Part..15)
Umri_____+🔞
Mtunzi: Geofrey Mustafa, ©Jafa.✍
Mahali: Dar es salam Tz.
WhatsApp: 0713024247.
ILIPOISHIA.......<<<
Kadodo akaamua kubadilisha style ya maisha yake, kwani akawa sambamba na mke wake Groly kwa kila hatua Kama kumsaidia kuwasha jiko la ges huku akimshika shika kiunoni ili mladi kumpa faraja tu hasiwaze chochote kibaya.
Na huwezi amini siku iyo Kadodo akaamua hasiende kabisa kazini yani kule shule anakofundishia alimpigia tu Simu mwalimu mkuu nakumwambia kuwa hatofika anajisikia vibaya Sana siku iyo. Kwakuwa ilikuwa sio kawaida yake mwalimu mkuu alimuelewa japokuwa utaratibu ni lazima aende kuweka saini yakuonyesha ni mgonjwa.
Siku iyo Kadodo alinunua pweza mzima mpaka Groly akashangaa, kisha akamwambia mke wake amuandalie supu ya uyo pweza..!!
              SONGA NAYO.......➽➽➽
Basi baada yakusikia mlango ukigongwa ikadidi niende kumuangalia mgongaji, kumbe alikuwa ni yule mfanya kazi wa ndani alinisalimia tukaongea kwa furaha kabisa kisha akaniaga nakuondoka zake.
Basi niliandaa vizuri ile supu ya pweza kisha nikamuona kadodo kaipalamia Kama mtu aliyekuwa akiisubiri zaidi ya miaka mitatu vile. Basi ilipofika jioni nikaona bora nijiachie kwa mume wangu ili angalau azidi kusahau yaliyotokea basi nilipotoka tu kuoga nakaingia chumbani huku nukiwa mtupu kabisa yani uchi wa mnyama sikuvaa ata mtandio..! Lakini nilipofika kule chumbani nilimshangaa kadodo akiwa anajinyonga nyonga pale kitandani akidai kuwa anajisikia vibaya...nilishangaa mpaka in kaishiwa pozi..!! Basi nikamshika huku nikimuuliza "Kwani tatizo nini jamani mume wangu...!!"
Mwanzo nilihisi uenda labda ananiigizia tu, lakini nikamuona akitoa udenda mdomoni..!! Nikazidi kuogopa mpaka nikawa natetemeka. Basi kadodo akatoka mbio mle chumbani mpaka sebureni kisha akaelekea bafuni nakuanza kutapika....!!! Alitapika sana.. Mala akatoka bafuni nakuelekea chooni muda uo Mimi sikuwa mbali nilikuwa jilani kabisa niseme tu nilikuwa mlangoni..!!
Mala nikasikia "Pleeeeeteteteteehh.pyiiiiipyeeee tohotohot..!!"
Kwakweli sikupata jibu maana kadodo alikuwa anaalisha vibaya mno yani...!! Kwakuwa Mimi nilikuwa ni Daktari nikajua ni lazima aishiwe nguvu maana kapoteza maji mengi sana..!! Haraka nikampigia simu rafiki mmoja ambaye nafanya naye kazi pale Arafa Dispensary anaitwa Ruth akaniambia atafika ndani ya dakika chache tu, nikashukuru kusikia vile.
Kadodo alitoka kule chooni akiwa hoi kabisa basi ikabidi nivae vizuri maana ndio pilau limeingia mchanga hakuna jinsi zaidi yakulimwaga tu mtaroni. Ruth naye alifika kabla ata ya salamu nikamtundikia maji mume wangu maana katapika Sana..kadodo Alishangaa sana ujio wa Ruth pale lakini ndio ivyo ikabidi awe mpole tu apate matibabu.
Drip yote ya maji iliishia mwilini mwa kadodo kwakweli tulishangaa Sana kuona hali ile hapo ndio nikaamini kumbe sisi binadamu kweli no kama maua 🌹 Tunachanua nakupendeza mwishowe unyauka nakupotea kabisa...!!
Baaada yakuona ali ya kadodo imekuwa nzuri ikabidi nimruhusu tu Ruth arudi nyumbani, ndio ivyo na sisi tukaenda chumbani kulala huku story mbili tatu zikiendelea nilimkumbatia mume wangu ili kama anajisikia vizuri apate mzuka anitie lakini haikuwa ivyo yeye alikuwa ananiambia tu story zilizompelekea kuwa vile ghafla "Yani Grory ushauri wa mitahani sio mzuri maana sijawahi kula pweza tangu nizariwe sasa leo nikiona cha mtema Kuni..!!"
Mimi nikamwsmbia tu pole mime wangu usijali utapona tu Mimi nipo kwa ajili yako."
Tulilala kavu kabisa siku iyo lakini sikujali Sana maana nilikuwa najua kilicho mpata mume wangu, kiukweli nilijikuta naanza kumpenda mume wangu nakuanza kumsahau kabisa yule Babu aliyetaka kuaribu ndoa yangu, mume wangu aliomba nimsindikize hospital akapate vipimo ila nikamwambia ni bora twende Pale dispensary napofanyia kazi ili tuokoe Pesa ambayo angeipeleka Hospital za serikali. Alifanyiwa vipimo na Dk. Amosi akaambiwa ana aleji na pweza ivyo hatakiwi kula tena  ata ivyo kuna dawa itabidi apewe iyo ni antibiotic kwaajili yakukinga endapo kama kutakuwa na madhara yoyote ya nje yani ngozi nakadharika.
Basi baada ya hapo kadodo alielekea shuleni na Mimi nilibaki pale pale kazini nikiendelea na majukumu mangine. Basi Dk. Amos ambaye yupo kitengo cha Mahabara akaniita;
"Grory, samahani nakuomba ofisini Kwangu mala moja..!"
Nikamjibu; "bila samahani Dk."
Kwakuwa muda uo nilikuwa sina kazi wala mgonjwa basi nikaona bora niende kumsikiliza.
"Nimekuja Dk kuitikia wito wako"
Dk Amos; "Ooh well, Sasa nilikuwa naomba kukuuliza viswali swali fulani ila nikikuboa naomba nisamehe bureeee!!"
Grory; "Mmh! Dk. Amos mbona unajiami mapema ivyo..wee niulize bwana mpaka useme ivyo utadhani Mimi na wewe hatujuani."
Dk. Amos; "Sikia Grory nadhani hapa ofisini kila mmoja anajua wewe umeolewa au vepe..??"
Groly; "Ndio, tena sio ndoa ya mkeka ila ni kanisani kabisa na Pete hii hapa nimevaa..!!"
Basi Dk. Amos alipoona namjibu kwa kejeli na kwakujiamini ndipo akaja na mpya kabisa... Mpaka nikajikuta naanza kumchukia maana hakuna kitu ambacho uwa sipendi Kama mtu kumdharau mume wangu aliyenipa heshima ya uanamke kwa kunioa sio kunichezea. Ikabidi nimuulize tena kuwa anasemaje;
Dk.Amos; "Nasema ivi wewe ni msichana mrembo Sana mwenye sifa zote, hufanani kabisa na yule mshikaji..yani huwezi amini mlipokuwa mnashuka kwenye gari Mimi nilijua uenda ni mkata majani wenu au ni Gate Man kaombwa akusindikize kazini kumbe ndo shemu duuuh!! Pole yako mrembo..!!"
Basi kwa hasira nikamuuliza; "Umemaliza"
Akaniambia ndio, nikaondoka zangu bila kuongeza neno lolote nikaenda mpaka ofisini Kwangu nikatoa Simu yangu kisha nikaanza kuangalia Picha za mume wangu kadodo. Niliangalia Picha nyingi alizopiga peke yake na tulizopiga pamoja.. Kiukweli niligundua kweli kadodo alikuwa tofauti kwa asilimia kubwa na vijana wa hapa kazini yani alikuwa hajipendi yeye alikuwa yupo yupo tu licha yakuwa alikuwa na gari.... Nikaamua..!!
📲SHARE LIKE, KISHA COMENT, IJE MPYA📲

                          ITAENDELEA.

No comments:

Post a Comment