Friday, June 8, 2018

STORY [BABU MWENYE NYUMBA [11 & 12]

"BABU MWENYE NYUMBA"
  (Love Story_____Part..11)
Umri_____+🔞
Mtunzi: Geofrey Mustafa, ©Jafa.
Mahali: Dar es salam Tz.
WhatsApp: 0713024247.
⚠MAISHA VITA, ULUMA ITAKUPONZA⚠
©Jafa
ILIPOISHIA........<<<
Wakati Kadodo yupo mezani kupata chakula na mkewe mala ghafla umeme ukazima...!!
Kadodo; "Daah!! Aisee mambo gani tena aya..!!" Groly; "Mmh! Sikujui itakuwa Luku, sijui umeme umekatika sijui ni nini..!!
Kadodo; "Nadhani ni Tanesco maana nimeangalia kupitia hapa dilishani naona ata kwa majilani kuna giza pia..!!"
Groly; "Khaa! Alafu ata Taa ya Solar hatua..!!"
Kadodo; "Nenda kachukue mshumaa hapo dukani tuje tule mambo mangine yaendelee"
Basi Groly akatoka zake huku kawasha torch ya Simu yake, wakati anaenda dukani akakutana na yule Kijana aliyekuwa na Babu basi wakapishana tu bila ata salam. Ila wakati anarudi sasa alipofika tu karibu na geti lakuingilia kwenye face kwao akasikia sauti ya Babu ikimwita Kwa pembeni kidogo. Basi ikabidi aende na kweli alimkuta Babu akiwa...!!
                 ENDELEA MWENYEWE.....>>>
Groly akafika mpaka pale alipokuwa amekaa Babu kwenye muharobaini, Babu akamvuta Groly huku akimwambia; "Njoo tuitumie hii nafasi ya giza kumalizia kipande chetu cha filamu sogea mtoto mzuri"
Lakini kwa upande wa Groly haikuwa ivyo maana aligoma kabisa, huku akimsihi Babu awe mvumilivu tu yeye yupo kwa ajili yake; "Babu naomba uwe mvumilivu vinginevyo tutakuja kufumaniwa alafu ikawa balaa, acha saizi Mimi nipeleke ndani huu mshumaa"
Babu; "Sasa unadhani kuna nafasi nyingine tena inaweza kutokea kama hii mpenzi..??"
Groly; "Usijali Mimi nipo kwa ajili yako, kwaiyo usiwaze kabisa niache niende sawa"
Basi Babu akawa ameponyokwa na mnofu wa nyama mikononi mwake, Groly taratibu kabisa akasepa zake nakumuacha Babu pale pale gizani kaganda kama moto anaye cheza ule mchezo wakujificha au kamfumbukile.
Basi mpaka ikafika SAA tatu za usiku umeme ulikuwa bado kurudi, kutokana na hali iyo Kadodo aliwahi Sana kulala maana hakuwa na chakufanya ivyo ikamlazimu na Groly kulala pia maana ataenda wapi umeme umekatika kote.  Sasa Kama unavyo jua jiji letu lilivyo na joto kibaya zaidi Groly kazariwa ndani ya friji yani Njombe kwaiyo kwake ilikuwa ni mateso... Jasho lilikuwa linamtoka mwili mzima mpaka Kadodo akamwambia asogee pembeni kidogo au aende sebureni akapunge upepo.
Basi wakati Groly na Kadodo wakizungumzia joto kumbe na upande wa Pili yani kule kwa Babu mwenye nyumba mambo yalikuwa ivyo ivyo... Wao walikuwa wanatumia Taa za Solar ivyo ndani kwao kulikuwa na mwanga, basi Babu alipoona uzarendo umemshinda kulala karibu na mkewe akaenda zake dilishani kisha akawa anapa upepo mwanana kabisa.
Lakini akiwa pale dilishani hakuamini kabisa macho yake alipomuona Groly akitoka nje huku akiwa kajifunga kanga kwa style ya shingoni ivyo ni lazima mapaja yake yabaki wazi karibu robo tatu yake ivyo kipande cha paja kinacho baki ndio kile kilicho iziba Kuma yake..!! Babu akajikuta kapata BARIDI Kali mwili mzima, basi akarudi chumbani kisha akamwambia mke wake; "Aisee Mimi naona niende tu nje kabisa"
Mkewe akamwambia kufanya nini tena huko nje jamani Mzee baruani?
Babu kwa hasira huku akitoka mle chumbani, akamjibu; "Naenda kurudisha umeme, maana naona wewe mwenzangu husikii joto kabisa."
Basi Babu haraka akatoka zake nje lakini alishangaa tena..! Maana hakumuona Groly...!! Roho ilimuuma Sana akalegea mwili mzima...kutokana na hasira akaona bora akae tu hapo hapo nje, maana akirudi ndani lazima atagombana na mkewe.. Lakini akawa anajiuliza yule alikuwa ni Groly kweli au jini...!! Mbona katoweka ghafla kama.lakini akajisemea ata liwe jini Mimi natomba tu kama maisha tayari nimesha kula Sana tu.
Basi Babu akiwa kakata tamaa kabisa huku kajiinamia zake anakumbuka enzi izo akiwa Kijana alivyo kuwa anawachapa mpini....!
Akiwa bado yupo ndani ya kumbukumbu zake za ujanani, mala akasikia sauti ya Groly; "Wee Babu unafanya nini saizi hapa nje..?"
Babu aliona Kama.....
                             ITAENDELEA.
  

"BABU MWENYE NYUMBA"
                (Love Story_____Part..12)
Umri_____+🔞
Mtunzi: Geofrey Mustafa, ©Jafa.
Mahali: Dar es salam Tz.
WhatsApp: 0713024247.
ILIPOISHIA.....<<<
Lakini akiwa pale dilishani hakuamini kabisa macho yake alipomuona Groly akitoka nje huku akiwa kajifunga kanga kwa style ya shingoni ivyo ni lazima mapaja yake yabaki wazi karibu robo tatu yake ivyo kipande cha paja kinacho baki ndio kile kilicho iziba Kuma yake..!! Babu akajikuta kapata BARIDI Kali mwili mzima, basi akarudi chumbani kisha akamwambia mke wake; "Aisee Mimi naona niende tu nje kabisa"
Mkewe akamwambia kufanya nini tena huko nje jamani Mzee baruani?
Babu kwa hasira huku akitoka mle chumbani, akamjibu; "Naenda kurudisha umeme, maana naona wewe mwenzangu husikii joto kabisa."
Basi Babu haraka akatoka zake nje lakini alishangaa tena..! Maana hakumuona Groly...!! Roho ilimuuma Sana akalegea mwili mzima...kutokana na hasira akaona bora akae tu hapo hapo nje, maana akirudi ndani lazima atagombana na mkewe.. Lakini akawa anajiuliza yule alikuwa ni Groly kweli au jini...!! Mbona katoweka ghafla sana...!! Lakini akajisemea ata liwe jini Mimi natomba tu kama maisha tayari nimesha kula Sana tu.
Basi Babu akiwa kakata tamaa kabisa huku kajiinamia zake anakumbuka enzi izo akiwa Kijana alivyo kuwa anawachapa mpini....!
Akiwa bado yupo ndani ya kumbukumbu zake za ujanani, mala akasikia sauti ya Groly; "Wee Babu unafanya nini saizi hapa nje..?"
Babu aliona Kama.....!!!
                      ENDELEA KUSOMA....>>>
Babu alishtuka Sana kumuona Groly kaibuka ghafla ghafla vile..hapo akaanza kuhisi labda uyu kweli ni jini maana hii hali sio ya kawaida, basi Babu ikabidi apunguze zile shobo zake maana roho yake tayari ilishaingiwa na woga. Lakini masikini binti wawatu wala ata mashetani tu kichwani hakuwa nayo, basi Babu akamuuliza Groly; "Aisee siamini Kama nimekuona  maana nilikuona nikiwa ndani, sasa ile nitoke nje nashangaa sikukuona tena..! Nikajiuliza maswali kibao nikaamua kutulia zangu tu hapa, aya nambie ulikuwa wapi..??"
Basi Groly huku akitabasamu akamwambia; "Mbona nilikuwa umo bafuni jamani..!"
Babu kusikia ivyo akamjibu haraka; "Aha! Kumbe ulikuwa kuosha kitumbua, nadhani leo mumeo kafanya yake au sio..!!"
Groly akamjibu huku akianza kuondoka; "Akha! Wala hajafanya chochote, nilikuwa napunguza joto tu mwilini bwana..!!"
Basi Babu kuona Groly anaondoka ikabidi amzuie kwa kumshika mkono huku akimwambia, "Unaenda wapi sasa bibie mbona ivyo sasa....Njoo bwana..!"
Groly huku akivunga vunga akaweka ndoo chini kisha akamuuliza Babu; "Babu tutafanyia wapi sasa jamani, naomba tupange siku nyingine.!!
Babu kusikia vile akajua kumbe mtoto anataka kutiwa ila anazuga tu, basi akamfuata akamshika mkono nakuanza kumkokota kuelekea kule kule bafuni alikotoka muda mfupi tu Groly, basi wakazama mpaka bafuni huku Groly akimwambia Babu; " Naomba nitombe haraka niondoke maana nimetoka muda mlefu kidogo kwa mume wangu, naogopa hasije kushtuka alafu akanifuatilia..!"
Babu akamjibu; "Ondoa shaka Bibie, leo sina muda kabisa wakupiga picha na kum* yako..!! Leo naanza na show moja kwa moja.."
Wakati yote ayo yakiendelea huku nje, kule ndani mke wa Mzee Baruani naye alihisi joto Kama limemshinda akaona bora aende nje akaungane na mume wake kupunga upepo wakati wanasubiria uluma ya tanesco. Akaanza kujivuta toka pale kitandani na safari ikaanza kuelekea nje kwa mume wake Mzee Baruani ambaye muda uo alikuwa dunia nyingine kabisa kiakili yani ulimwengu wa raha ya mwisho duniani. Mke wa Babu mwenye nyumba alishangaa Sana maana pale nje hakuona ata dalili yoyote yakuwepo mumewe..!! Alijiuliza sana atakuwa kaenda wapi uyu Mzee saizi...!!?? Lakini akaamua kupuuza tu maana Kama umri wao tayari umeenda kwaiyo ata mambo ya wivu hayakuwepo japokuwa mapenzi hayana mwisho. Lakini ile anataka kuanza kurudi ndani akashangaa kuona ndoo ndogo mlangoni kwa kina Kadodo alipoisogerea karibu akagundua kuwa ile ni ndoo yakuogea maana ilikuwa na kata pamoja na sabuni Imperial au Carson pamoja na kitambaa...!! Lakini cha ajabu kilicho kuwa kinamshangaza yule Bibi ni kwamba ile ndoo ilikuwa bado mbichi kabisa ikimaanisha kuwa mtu alitoka kuogea muda mfupi tu...!!
Hapo sasa Bibi ikabidi atumie akili yake ya ziada maana yeye tayari kala chumvi nyingi alafu isitoshe ayo mambo kayapitia sana tu, basi akajua kwa asilimia tisini mumewe lazima atakuwa na mahusiano na uyu binti mpangaji wao kwaiyo kwakuwa yeye anafanya kazi ofisi za haki za BINADAMU akaona ni vema ili swala na Kadodo alijue ili aone upumbavu anao ufanya mke wake ikiwa ndoa yao ingali bado changa kabisa alafu bado ata familia hawana..!
Basi yule Bibi haraka akaenda dirishani kwa upande wa kitanda cha kina Kadodo kisha akaanza kuita; "Weee Kijana....Weee Kijana...Amka haraka ni Mimi Mama mwenye nyumba hapa..!!"
Basi Kadodo akamsikia kwa shida huku akiwa bado na usingizi mzito akawa anampapasa Groly huku akisema; "Weee Groly ebu msikilize Bibi anataka nini au anasemaje..!"
Lakini aligundua kuwa pale kitandani alikuwa peke yake, hapo sasa usingizi ukamuisha wote na sekunde iyo iyo macho yakawa makavu kabisa ndipo akajifunga taulo tu huku akimwambia yule Bibi; "Nakuja haraka Bibi, kwani kumetokea nini tena jamani..!!????"
Haraka Kadodo akatoka mpaka mlangoni, cha kwanza akakutana na ndoo alipoicheki akaona sababuni pamoja na kitambaa cha mkewe Groly...!!! Hapo haraka akamsogerea yule Bibi nakumuuliza; "Bibi mbona sielewi bado..! Ebu nieleweshe haraka basi Mama yangu..??"
Bibi akamwambia kwanza; "Kijana wangu ukisikia ukubwa ndio huu unaanza kukufika kwaiyo naomba uwe na kifua cha kiume ili uweze kulipokea ili tukio baya na kubwa kwenye maisha ya mahusiano na ndoa kwa ujumla husipo fanya ivyo ukitumia hasira utakuja kujuta baadaye..!!"
Kadodo akaanza kupata picha lakini tatizo aelewi iyo picha imepigiwa wapi au inapigiwa wapi mpaka muda huu, basi akamsogelea karibu kabisa yule Bibi kisha akamwambia kwa sauti ya chini yenye msisitizo; "Mama niambie sasa kimetokea nini au nini kinaendelea mpaka usawa huu Mama..???"
Hapo ndipo Bibi akaamua ku.....!!

                           ITAENDELEA........

No comments:

Post a Comment