Friday, September 15, 2017

MAMBO MAKUBWA USIYO YAFAHAMU KUHUSU TUPAC SHAKUR

1. kesi ya shambulio la kijinsia alilofanya Tupac huko New York ilikuwa ni kesi ya kwanza ya rap ya mahakama.
2.Neno lake la mwisho kulisema kabla ya kifo chake ni neno “F*ck you!” alilomuambia askari aliyemuuliza ni nini kilikuwa kimemtokea
3.Tupac Shakur alisaini kwenye studio ya Death Row ambayo kwa wakati huo ilikuwa studio ya moto na yenye hatari zaidi nchini Marekani na alifanikiwa kwa mara ya kwanza kuotoa CD mbili za hip hop kwa mpigo.
4.Kabla ya Shakur kuripoti gerezani kwa sababu ya unyanyasaji wake wa kijinsia, alikamilisha albamu yake kwanza.
5.Licha ya kuwa mwanafamilia nguli wa “west coast”, cha kushangaza ni kwamba tupac alizaliwa new york ambako ni east coast!
6. Alishakuwa na uhusiano na msanii Madonna uhusiano ambao ulivunjika kutokana na tupac kukashfiwa na watu weusi eti ni kwa nini awe na mpenzi mzungu!
7.Kwa mujibu wa gazeti la times, mahasimu wa tupac B.I.G na P.diddy walijua kuwa tupac angeuawa wiki moja kabla madai ambayo yalikanushwa na FBI. Meneja wa tupac suge knight pia ameshawahi kuhusishwa na kifo cha msanii huyu nguli wa hiphop!
8.Tupac Shakur ndiye mwandishi wa kwanza aliyekufa ambaye aliwafanya watu wafikiri yeye bado yu hai.
9.Kwenye wimbo wake wa “me and my girlfriend” anchozungumzia ni bunduki yake na si mpenzi wake kama inavyojulikana

No comments:

Post a Comment