Friday, September 15, 2017

BET HIP HOP AWARDS NOMINEES KENDRICK LAMAR,DJ KHALED NA CARDI B WATAMBA

BET jana imetaja majina ya wasanii ambao wanawania tuzo za BET HIPHOP AWARDS kwa mwaka 2017,Baadhi ya wasanii amabao wapo kwenye vipengele vingi ni pamoja na Rapper Kendrick Lamar,Card B na Dj Khaled ambao kwa pamoja wamechaguliwa kwenye vipengele nane.

Wasanii wengine ambao nao wametajwa kwenye vipengele vingi ni Jay Z pamoja na Chance the rapper ambao kwa pamoja wapo kwenye vipengele vitano,Tuzo za BET HIP HOP AWARDS Hip-Hop Awards 2017 zinatarajiwa kufanyika Oct. 6 Fillmore Miami Beach at Jackie Gleason Theater in Miami.
HIZI NDIZO CATEGORY ZOTE ZA BET HIPHOP AWARDS 2017
BET Hip-Hop Awards 2017 Nominees

Album of the Year
DJ Khaled – Grateful
Future – FUTURE
J. Cole – 4 Your Eyez Only
Jay Z – 4:44
Kendrick Lamar – DAMN.
Migos – Culture
Best New Hip-Hop Artist
Aminé
Cardi B
Kodak Black
Playboi Carti
Tee Grizzley


Hustler of the Year
Cardi B
Chance the Rapper
Diddy
DJ Khaled
Jay Z
Kendrick Lamar
Made-You-Look Award (Best Hip-Hop Style)
A$AP Rocky
Cardi B
Future
Migos
Nicki Minaj


Best Mixtape
Cardi B – Gangsta Bitch Music Vol. 2
Gucci Mane – Droptopwop
Juicy J – Gas Face
Playboi Carti – Playboi Carti
Tee Grizzley – My Moment
Yo Gotti & Mike Will Made-It – Gotti Made-It


Sweet 16: Best Featured Verse
Chance the Rapper – “I’m the One” (DJ Khaled feat. Justin Bieber, Quavo, Chance The Rapper & Lil Wayne)
Gucci Mane – “Black Beatles” (Rae Sremmurd feat. Gucci Mane)
Lil Uzi Vert – “Bad and Boujee” (Migos feat. Lil Uzi Vert)
Nicki Minaj – “Rake It Up” (Yo Gotti feat. Nicki Minaj)
Ty Dolla $ign – “Ain’t Nothing” (Juicy J feat. Wiz Khalifa & Ty Dolla $ign)
Wiz Khalifa – “Ain’t Nothing” (Juicy J feat. Wiz Khalifa & Ty Dolla $ign)


Impact Track
Cardi B – “Bodak Yellow”
Jay Z – “Story of O.J.”
Kendrick Lamar- “HUMBLE.”
Kendrick Lamar – “DNA.”
Lecrae – “Blessings” feat. Ty Dolla $Ign
Tyler, the Creator – “Who Dat Boy” feat. A$AP Rocky


Best Hip-Hop Video
Cardi B – “Bodak Yellow”
DJ Khaled feat. Rihanna & Bryson Tiller – “Wild Thoughts”
French Montana feat. Swae Lee – “Unforgettable”
Future – “Mask Off”
Kendrick Lamar – “HUMBLE.”
Best Collabo, Duo or Group
DJ Khaled feat. Rihanna & Bryson Tiller – “Wild Thoughts”
French Montana feat. Swae Lee – “Unforgettable”
Migos feat. Lil Uzi Vert – “Bad and Boujee”
Rae Sremmurd feat. Gucci Mane – “Black Beatles”
Yo Gotti feat. Nicki Minaj – “Rake It Up”


Hot Ticket Performer
Cardi B
Chance the Rapper
Drake
J. Cole
Kendrick Lamar
Lyricist of the Year
Chance the Rapper
Drake
J. Cole
Jay Z
Kendrick Lamar


Video Director of the Year
Benny Boom
Colin Tilley
Dave Meyers & Missy Elliott
Director X
Hype Williams
DJ of the Year
DJ Drama
DJ Envy
DJ Esco
DJ Khaled
DJ Mustard


Producer of the Year
DJ Khaled & Nasty Beatmakers
DJ Mustard
London On Da Track
Metro Boomin
Mike Will Made-It
Pharrell Williams


MVP of the Year
Cardi B
Chance the Rapper
DJ Khaled
Jay Z
Kendrick Lamar


Single of the Year
“Bad and Boujee” – Produced By Metro Boomin (Migos feat. Lil Uzi Vert)
“Bodak Yellow” – Produced By J. White Did It (Cardi B)
“HUMBLE.” – Produced By Mike Will Made-It (Kendrick Lamar)
“Mask Off” – Produced By Metro Boomin (Future)
“Wild Thoughts” – Produced By DJ Khaled & Nasty Beatmakers (DJ Khaled feat. Rihanna & Bryson Tiller)

MAMBO MAKUBWA USIYO YAFAHAMU KUHUSU TUPAC SHAKUR

1. kesi ya shambulio la kijinsia alilofanya Tupac huko New York ilikuwa ni kesi ya kwanza ya rap ya mahakama.
2.Neno lake la mwisho kulisema kabla ya kifo chake ni neno “F*ck you!” alilomuambia askari aliyemuuliza ni nini kilikuwa kimemtokea
3.Tupac Shakur alisaini kwenye studio ya Death Row ambayo kwa wakati huo ilikuwa studio ya moto na yenye hatari zaidi nchini Marekani na alifanikiwa kwa mara ya kwanza kuotoa CD mbili za hip hop kwa mpigo.
4.Kabla ya Shakur kuripoti gerezani kwa sababu ya unyanyasaji wake wa kijinsia, alikamilisha albamu yake kwanza.
5.Licha ya kuwa mwanafamilia nguli wa “west coast”, cha kushangaza ni kwamba tupac alizaliwa new york ambako ni east coast!
6. Alishakuwa na uhusiano na msanii Madonna uhusiano ambao ulivunjika kutokana na tupac kukashfiwa na watu weusi eti ni kwa nini awe na mpenzi mzungu!
7.Kwa mujibu wa gazeti la times, mahasimu wa tupac B.I.G na P.diddy walijua kuwa tupac angeuawa wiki moja kabla madai ambayo yalikanushwa na FBI. Meneja wa tupac suge knight pia ameshawahi kuhusishwa na kifo cha msanii huyu nguli wa hiphop!
8.Tupac Shakur ndiye mwandishi wa kwanza aliyekufa ambaye aliwafanya watu wafikiri yeye bado yu hai.
9.Kwenye wimbo wake wa “me and my girlfriend” anchozungumzia ni bunduki yake na si mpenzi wake kama inavyojulikana