Thursday, April 6, 2017

Tweets za Zitto Kabwe, Vanessa Mdee kuhusu Kukamatwa Roma & Moni Central Zone [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

Kuanzia usiku wa jana kumekuwa na taarifa ambazo sio nzuri kuwahusu wakali wawili wa muziki hapa Bongo Roma Mkatoliki na Moni Centralzone kukamatwa na watu wasiojulikana na kupelekwa sehemu ambayo mpaka sasa haijafahamika.
Taarifa hizo zilianza kwa Mbunge wa Mikumi Mh Joseph Haule (Professor Jay) kwa kuposti taarifa hiyo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.

Taarifa hiyo imewagusa wengi hasa watu maarufu na kila mmoja ameweza kuandika yakwake, ila kwasasa nimekusogezea tweets za Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Zuberi Kabwe na Vanessa Mdee.

Uvamizi wa studio ya Tongwe na kumkamata msanii Roma Mkatoliki ni mwendelezo wa uongozi wa kigangstar na lazima kulaani Kwa nguvu zetu zote

                                                    VeeMoney #CashMadame @VanessaMdee
Roma na Moni wamerudishwa? Maana nililala nikadhani labda ndoto mbaya tu hii.

No comments:

Post a Comment