Wednesday, October 12, 2016

CHABA ANALOGA LYRICS (WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM)

Song;- #Analoga
Artists;- @chaba009 @hisiatz
Producer;- @daznaledge
Director;- @innomafuru

Intro;-
Mmmh! Tumeirudisha nyumbani, twende ss, haah×6 bounce! Haah×6 haya ss,
Bridge×2
Embu loga loga nikubambe mamii, embu loga nikubambe (loga, loga)
Verse1
Ayo kimwali huhitaji marashi,
Pamba kali uonekane mtashi,
Bila wanja una mvuto, Kifua chako hakiihitaji vito, Hivyo ulivyo ni vipodozi tosha,
Huhitaji poda ukanikosha, Mrembo unahitaji tuu kuoga,
Umbo lako ni shida linavyologa,
Japo umetoga, Hereni huhitaji,
Unaonekana una kipaji, Cha kuloga na mapozi na wako mwendo, Sauti yako inaniloga matendo, Tafadhali, nitake radhi kimwali, Unaloga mpaka nimehisi kuparty hatari unavyologa mabusu, Kukupapasa natamani uniruhusu, Unavyologa utamu kunoga, Mashiko manono kama maboga,
Nipo Arusha ila najihisi ulaya ulaya, Loga chochea more fire,
Bridge×2
Chorus×1
Natakaa unikaribiee, Uwe karibu namii, Nikugusee nikukunee, Nikupe rahaa,
Utabaki hoii hoii hoii mmh mmh! (Hoii, hoii)
Utabaki hoii hoii hoii mmh mmh! (Hoii hoii)
Verse2
Ayo subiri nikupe tahadhari, Huyu kimwali alivyo hatari,
Vile alivyo mahaba, Na umbile haba jamaa hulogeka na kumuhonga laga, Na dinner,
Akitaja jina analoga mpaka anahongwa carina, Mauno milogo mpaka amehongwa nyumba, Akafunguliwa account mavumba bila kwenda Sumba-wanga au Tanga hahitaji waganga mpe moja kanga,
Iwe kavu au ndembe, Kifuani maembe, Dodo yanavyologa, Utakoma soga, Analoga na misosi maridadi iwe mbuzi ama samaki na zake saladi hainiishi midadi, Tabia ka mlami, Analoga mahaba kama jini yaani,
Bridge×2
Chorus×1

Bonyeza link ya mkito hapo chini  kudownload audio
& Pls, listen & share Good music,

http://bit.ly/Analoga

#TanzaniteMilele

#InfoPowered by @babalaotv @rodgersbabalao27 www.babalaoinc.blogspot.com 

No comments:

Post a Comment