Sunday, August 14, 2016

STAY TUNED BEI YAKE KIBOPA PACHA (WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM)

Elisha James a.k.a PACHA ZE GREAT msanii kutoka ARUSHA chini ya usimamizi wa DAB MUZIK kwa yule chizi wa muziki (DAZ NALEDGE), baada ya kukaa kimya kidogo baada ya hit singles zake km LESO ,CENT TANO na zingne nyng ameamua kuvunja ukimya baada ya kuwapa taarifa mashabiki wake kwamba NEW JOINT iko njian na ivi ndivyo alivyoandika kweny kurasa za mitandao yake ya kijamii ...nanukuu...

We bout to bring a new staff in to your ears
‪#‎staytuned‬
‪#‎dabmuzik_ent‬
‪#‎255audiorecordingstudio‬
‪#‎ellishajames‬ up on this)

InfoPowered by @babalaotv @rodgersbabalao27 www.babalaoinc.blogspot.com

No comments:

Post a Comment