Saturday, September 26, 2015

SANAA MTAA MOVEMENT JUMAPILI HII [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

LILE TAMASHA LA KUELIMISHA JAMII KUPITIA SANAA YA MUZIKI HUSUSANI WA HIP HOP LINALOFANYIKA MARA MBILI KWA MWEZI,,BABALAOINC IMEPIGA STORY NA WAHUSIKA BAADHI WA TAMASHA ILO LINALOFANYIKA ENEO LA WAZI YAANI BILA KIINGILIO KATIKA VIWANJA VYA ONE PARU  NI KWAMBA LINAKWENDA KUFANYIKA TENA SIKU YA JUMAPILI TAR 27/O9 KUANZIA SAA 8 MCHANA MPAKA SAA MOJA JIONI...FIKA BILA KUKOSA ...
POWERED BY WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM ,SANAA MTAA MOVEMENT

No comments:

Post a Comment