Monday, August 17, 2015

MAKAMUA ASEMA YEYE NI KAMA BOB MARLEY [WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM]

YULE MSANII MKONGWE WA MUZIKI WA BONGO FLEVA NCHINI TANZANIA ALMAARUFU KAMA MAKAMUA ANAEUNDA KUNDI LA WAKALI KWANZA ZAMANI AKIEPO PIA Q JAY NA JOSELYN,(MIMI NI KAMA BOB MARLEY MAANA KILA MTOTO WANGU ANA MAMA YAKE)ALISEMA MANENO HAYO BAADA YA STORY MOJA MBILI TATU PAMOJA NA WASANII KAMA BREEZE BURNING,DEEJAY DAVIZO, RUDE RODGERS NA WENGINE WENGI,AKIWA PANDE ZA CHUGA(ARUSHA) KATIKA STUDIO ZA KALI ZONE ZINAZOMILIKIWA NA MTU MZIMA GONCHER BEATS..KIKUBWA ZAIDI KAA MKAO WA NGOMA KALI ILIOPIKWA NA PRODUCER HUYO IKIMUHUSISHA MAKAMUA,MAN SULI NA TDX WANGEX. ........POWERED BY WWW.BABALAOINC.BLOGSPOT.COM



No comments:

Post a Comment