Friday, May 29, 2015

SOMA ALICHOKIANDIKA RUDE RODGERS KWENYE UKURASA WAKE WA FACEBOOK

Amos Rude Rodgers Shukran kwa Mungu wangu nko na afya njema mpk leo hii.. Pia wazaz wangu kua pamoja nami kla hatua ninayopiga.. Ndugu Jamaa na marafiki wale wote mlionitakia heri katika siku yangu ya kuzaliwa 27 May... Bila kuwasahau maadui, masnitch, wanafki zangu maana bla nyiny sipat changamoto Cna cha kuwalipa zaidi ya wimbo mpya... Plz Share.. Bofya hapa kupakua wimbo mpya wa Rude Rodgers Babalao https://mkito.com/song/hawaponi-ft-native-gs/14569 produced by GS chini ya usimamizi wa Record Label ya RUDE ZONE MUSIC.. kwa mawasiliano +255 756 978 662 powered by babalaoinc.blogspot.com

No comments:

Post a Comment