Picha: Wasanii waungana kutengeneza wimbo na video ya wimbo wa muungano
Wasanii
zaidi ya 50 wa Bongo Flava, Hip Hop, Injili, Dance na Taarab wameungana
pamoja na kufanya wimbo wa kuhamasisha Muungano unaotoka April 26,
2014.
Wasanii wa Tanzania kuanzia muziki, kwaya,dance mpaka bongo movie,
wameungana kwa pamoja na kutengeneza wimbo wa pamoja kuhusu Muungano
ambao kilele kitakakuwa siku ya ya tarehe 26 mwezi huu.
Wimbo huo umejumiaisha wasanii kama Mabeste, Diamond, Ommy Dimpoz, Lina,
Khadija Kopa, Manddojo na Domo Kaya, Mwana FA, AT,AY,Mrisho
Mpoto,Madee,Asley,Chege, Qeen Darlin, Mwasitina wengine kibaona
kutengenezwa na Tuddy Thomas na kusimamiwa upande wa video na Raqie
kutoka I-View Media
No comments:
Post a Comment