Thursday, February 20, 2014

JCB ANAWAOMBA KURA KUINGIA KILI MUSIC AWARDS NA DRIVE SLOW

PIGA KURA KWA JCBMsanii Jacob Makala maarufu Kama JCB kutoka Arusha anawaomba wale wote Wanaompenda kama Msanii mwenye uwezo mkubwa wa kuandika na Flow tamu Muupigie kura wimbo wake wa DRIVE SLOW alomshirikisha PROFESSOR J uingie katika Kinyang’anyiro cha kuwania tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014.
Kuupigia kura wimbo wa JCB DRIVE SLOW uingie kwenye kinyang’anyiro hicho KTMA ktk kipengele cha WIMBO BORA WA HIP HOP  ANDIKA SMS {9 DRIVE SLOW JCB ft PROFESA JAY kwenda  namba 15440} na kuuupigia kura uwe WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA andika sms {12 DRIVE SLOW JCB ft PROFESA JAY kisha tuma kwenda 15440}
Ni time ya kumuonyesha JCB kama wewe ni mtu wake wa nguvu kwa kuupigia wimbo wake kura tu halafu mnazidi kuwa Washkaji…..
“Ninacho kiamini mimi ni kwamba NGOMA NI KALI INA DESERVE…… kura yako ni muhimu

Pia unaweza kumpigia kura Online kwa kutembelea link hii maalum kwa KTMA 2014                     http://kilitime.co.tz/ktma

No comments:

Post a Comment